Swali fikirishi: Kama jina Israel limetoka kwenye vitabu vya dini, ina maana hii migogoro ni ya kidini zaidi?

Magidu

Member
Oct 18, 2022
52
84
Heshima kwenu,

Katika kitabu cha Biblia, Mwanzo35:10"Mungu akamwambia, jina lako ni Yakobo; hutaitwa tena Yakobo lakini Israeli litakuwa jina lako.Akamwita jina lake Israel".

Naomba kueleweshwa hapa, inamaana hili jina Israel limetokana na biblia(vitabu vingine sijajua)ama hakuna uhusiano wowote?

Nakama jina hili linalotamkwa na karibia kila nchi limetokana na vitabu vitakatifu ikiwemo biblia, ndo tuseme mengi yanayotokea kwa taifa hili ni yale yaliyoandikwa?
 
Back
Top Bottom