Recent content by Mageuzi

  1. Mageuzi

    Mwanasheria mkuu wa Serikali, Werema aungana na UKAWA

    jamani UKAWA mnabebembelezwa hadi na mwanasheria mkuu. basi kubalini tu yaishe mrudi mle posho jasho la watz.wenzenu waliokubali wameshaanza kurudi kimmya kimya
  2. Mageuzi

    Simu ya wife

    boresha mapenzi labda humpatii anachopenda....ndo maaana anachepuka.Mjulishe kuwa umeona hiyo number usimpe nafasi ajieleze.cha msingi msamehe songa mbele na life
  3. Mageuzi

    DIASPORA yupi aliyefanikiwa kiuchumi, kisiasa na kijamii awe mfano?

    Le Mutuz anamiliki bloggu ya bure from blogspot.com
  4. Mageuzi

    Dawa ya UKIMWI

    Kula Majani ya mronge,kula binzari ktk chakula,Asali Daily,vitunguu swaumu,epuka pombe,ngono zembe, mche mungu wako kwa sana. utashangaa siku zinasonga,wazima unawasindikiza makaburini.
  5. Mageuzi

    kwa wanaume wenzangu mnaoambiwa I LOVE YOU TOO

    unataka penzi unatoa pesa,fullstop, kwani wewe hujui mjini kila kitu pesa,saloon,kucha,mkorogo etc. cha msingi wewe toa pesa usilalamikie nimeona boda boda ameandika Mapenzi ya kweli kijijini ukitaka asikutoe pesa, mshawishi anyoe nywele,asipake kucha rangi. avae nguo za mtumba/kushona bei...
  6. Mageuzi

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    simple, kuwa na fixed amount ambayo upo radhi kutoa, e.g 4000,5000 ,20000 etc. ukipewa kadi ya mchango pale pale unampa mtu elfu 5, za mchango wako. baada ya muda watu watakujua kuwa unatoa chini ya matarajio yao,wataacha kukusumbua na kadi za mchango. mimi huwa namwambia mtoa kadi, sitochanga...
  7. Mageuzi

    Siku WAHINDI wakihama UPANGA

    Wahindi wapo smart,wapo wachache yet wanamilikia over 75% ya uchumi wetu. Raisi ajaye madarakani anatakiwa awamulikie tochi wahindi wote, kwanza awekeke special register (Biometric) ili wale wanaotoka india na pakistani wasijifanye watanzania bila kufuata taratibu za kuomba uraia, 2- Makampuni...
  8. Mageuzi

    Majeshi Yetu Hasa JWTZ kwa kushirikiana na usalama wa Taifa liangalieni hili.

    enzi za Nyerere mjumbe wa nyumba kumi alikuwa sehemu ya data collection ya usalama wa Taifa, kwani mjumbe huyu aliweza kutambua wapita njia,wageni,na wenyeji katika eneo lake, kwa sasa Tanzania haina wenyewe,hatuna mjumbe wa nyumba kumi,na polisi wapo bize na issue za wizi tu,na ulaji...
  9. Mageuzi

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    mpe live wife,kuwa huduma ya ngono unaipata kwa hisani ya housemaid ,na pia unashauri aongezewe slary kwa huduma yake nzuri soon wife atazinduka na kuanza kutimiza mujibu wake,ilishanitokea ,usifanye siri kwa dunia ya sasa weka bayana mpe wife options hthen utakuwa stressfree
  10. Mageuzi

    Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi

    tafuta kigamboni kibada ,karibu na jiji
  11. Mageuzi

    Namtafuta MUSTAFA SABODO

    Sabodo na Dr Shivji wa kigoda cha mwalimu .these are the only Asians of tanzanian background i can trust.
  12. Mageuzi

    Tanzania yongoza kwa ughali wa simu kutoka ughaibuni

    hivi sheria iliyounda TCCRA inasemaje?nilidhani mawasiliano ni ya ndani ya nchi na yale yanayoingia kutoka nje ya nchi.Mungi inabidi uwape ushauri viongozi wako wafanye review ya majukumu yao.ukizingatia wameshapewa kashfa ya kutumia bilioni za TZS kutoa elimu kwwa wafanyakazi wachache.sometime...
  13. Mageuzi

    nawezaje kuanza kufanya biashara ya nyumba(real estate agent)

    frozen umagandia wapi, watu kama nyie ndo mnatukanwa ndani ya JF,unatoa mada alafu unapotea.!@#$%^&*()_ Ako. unababaisha hadi JF in the real world sijui utafanikiwaje
  14. Mageuzi

    Motorcycles, Bajajs Banned From Dar`S Business Centre

    waziri amekurupuka. Foleni zinasababishwa na magari na bajaji,siyo Piki piki.kwani motobike zinapita kati kati ya magari. nadhani amefanya uamuzi huu kwa shinikizo la wamiliki wa TAXI. kwani boda boda zimeua soko la TAXI kati kati ya mji.
  15. Mageuzi

    hosteli

    watoto wa chuo wapo above 18,ni watu wazima. mzazi wa mtoto below 18 usiruhusu mtoto akae hostel ambayo siyo shule.ukimweka mtoto katika hosteli za mitaani ni sawa umempangishia chumba mtaani. ni bora utafute nyumba zenye familia karibu na shule uwalipe ,mwanao aishi nao.kwani hapo watakuwa ni...
Back
Top Bottom