hosteli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hosteli

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mangolo, Nov 6, 2011.

 1. M

  Mangolo Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ndugu wazazi polenin na jukumu la kusomesha
  naomba mfuatilie kwa karibu sana hosteli wanazokaa watoto hususani wa kike na mtakayoyaona mnijuze,
  hosteli ammbazo wamiliki wake wameajiri watu wa kuziangalia, wenyewe wako mbali
   
 2. Mageuzi

  Mageuzi Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watoto wa chuo wapo above 18,ni watu wazima.
  mzazi wa mtoto below 18 usiruhusu mtoto akae hostel ambayo siyo shule.ukimweka mtoto katika hosteli za mitaani ni sawa umempangishia chumba mtaani.
  ni bora utafute nyumba zenye familia karibu na shule uwalipe ,mwanao aishi nao.kwani hapo watakuwa ni wazazi wa mtoto wako ,pia watamjenga mwanao ki maadili.
  poleni wazazi mlio na watoto ktk hostel za mtaani kwa watoto wa form 4 au 5-6 .kwani huko watoto wanajifunza kuchuna mabuzi,kwenda disko,kuuza ngono fasta fasta etc

  Jukumu la maadili la ya mtoto ni la MZAZI,MWALIMU JUKUMU LAKE NI ELIMU NA UTASHI WA MTOTO.
   
 3. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Uliongea vema japo conclusion yako ina "walakini"
   
Loading...