Motorcycles, Bajajs Banned From Dar`S Business Centre | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Motorcycles, Bajajs Banned From Dar`S Business Centre

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nngu007, Nov 6, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sat, Nov 5th, 2011
  Sat, Nov 5th, 2011| Tanzania


  [​IMG]

  Minister for Home Affairs Mr Shamsi Vuai Nahodha


  The Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA) yesterday banned motorcycles and three-wheelers, popularly known as Bajaj, from Dar es Salaam's central business district in a bid to control congestion in the city.

  From now onwards motorcycles and Bajajs will not be allowed to go beyond the limits set by the public transport regulator.

  A Sumatra statement issued yesterday stated that motorcycles and Bajajs should ply not beyong Sam Nujoma road, Mandela road, and Kurasini, adding that motorcircles and Bajajs plying the Tegeta should not go beyond Mwenge.


  "They are confined to the earmarked limits. Violators of the new system will face penalties of less than 50,000/-," the statement said.


  Sumatra said that regional traffic police authorities in the three
  Dar es Salaam municipalities – Temeke, Ilala and Kinondoni – met yesterday and agreed on the modalities of implementing the ban.


  This latest decision intends to reduce congestion in Dar routes and improve the city's environment.


  Meanwhile, the Ministry of Home Affairs has formed a technical committee of six people to research and identify a speed governor system suitable for the country's environment to minimize traffic accidents which have been causing deaths and disabilities to many people.


  Home Affairs Minister
  Shamsi Vuai Nahodha announced about the committee yesterday at a meeting attended by traffic police officers, SUMATRA) and National Insurance Corporation officials.


  The technical committee will include 6 officials from the traffic police,
  Tanzania Revenue Authority (TRA), Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), the College of Engineering and Technology (CoET), Tanzania Bureau of Standards (TBS) and the Ministry of Science and Technology.

  By Lydia Shekighenda, The Guardian   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  At last no BAJAJ downtown... well thank U Vuai Nahodha and I believe U moved out of the HOTEL !!!
   
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu bado siyo solution ya msongamano katikati ya jiji. Kuhusu kamati itakayotafuta speed gavana zinzofaa kufungwa ktk mabasi bado waziri amefanya makosa kama ya watangulizi wake. Wadau muhimu ambao ni abiria sisi watumiaji wa huu usafiri,wamiliki wa mabasi na madereva wanaendesha haya mabasi hawamo ktk hii kamati. Wapo watu wa serikali na taasisi zake.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Angalau Wamevizuia kuingia CBD najua Msongamano hautaisha lakini vikaratasi vya usafiri vinaondolewa
   
 5. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  dah, inamaana nikiwa na haraka toka ubungo kuelekea kinodoni
  lazima nipande taxi! kama ni hivyo naona hii imekula kwangu ;-(
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Vipi kuhusu zile Ambulances?, Maana nazo zina miguu mitatu. Ikitokea mtu anataka kuhamishwa kutoka ocean road kwenda muhimbili na kinyume chake itakuwaje?
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Walikuwa mstari wa mbele kuvaa T-shirt na kofia za rangi ya njano na kijani...
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hizo speed governor ndo zitazuia matairi kupasuka?
   
 9. T

  Twasila JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  waondoe mikokoteni na maguta pia
   
 10. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Ni kweli wasukuma mikokoteni na maguta wana tabu sana na ni wabishi wa kupita no entry.
   
 11. C

  Cipro Senior Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  maguta na mikokoten vimezid hasa kariakoo,ilala mpk buguruni.ila kufungiwa kwa pikpik kutatuumiza kwele hasa wahindi na wafanyabiashara wengine kwa sababu zina saidia kwenye fast delivery of small goods.
   
 12. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wrong BAN, maguta na mikokoteni + Bajaji. SEKIDO wangeziacha zinatusaidia kwenye kuwahi aaaah! tuandamane jamani watumia JINYEE PIKIPIKI
   
 13. Mageuzi

  Mageuzi Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waziri amekurupuka.
  Foleni zinasababishwa na magari na bajaji,siyo Piki piki.kwani motobike zinapita kati kati ya magari. nadhani amefanya uamuzi huu kwa shinikizo la wamiliki wa TAXI. kwani boda boda zimeua soko la TAXI kati kati ya mji.
   
 14. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Waziri alipaswa kuunda kamati kujua tatizo la ajari sasa yeye anaunda kamati kuangalia namna gani wataimplement soln.
  Baya zaidi wajumbe ndio chanzo cha ajari, nani asiyejua kuwa traffic na rushwa ndio namba wani wakifuatiwa na ubabaishaji wa sumatra ambao mara zote wanakurupuka tu, tbs sasa hawajua hata wajibu wao na madereva wengi shule tatizo na uwelewa mdogo.
  Abiria hana tofauti na mzigo hata maoni yake hayahitajiki waziri atawasemea wakati waziri hata kuchimba dawa hajui ni nini!
   
 15. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Is this the right and best way to deal with traffic problem? Have you ever thought of charging people to get in the city centre?
   
Loading...