Ni gari nzuri tu ndugu........
Kama utahitaji kuiagiza usisite kuwasiliana nami
Nitakupatia gharama zote kuanzia kuinunua kuisafirisha ushuru wa TRA na gharama za bandari wewe ni kuisubilia gari yako tu....
No:-
0629600647
[emoji23][emoji23][emoji23] yule avunji mkataba sasa kwa kuwa mama kasema wamalizane ataitwa aje na timu inayomuhitaji waweke dau lao auzwe we unadhani Yanga watavunja bila kufuata taratibu ile ni taasisi km ilivyo taasisi ya Rais ndomana hata waliovoomba eneo jana Rais akasema wataangalia...
IQ tunaangalia hasa Umri wa mtoto na matendo yake je yanaendana na umri wake ikiwa kuna utofauti hapo ndio unaweza kujua IQ ya mtoto ni katika kundi lipi kulingana na % ambazo zinapatikana
IQ= umri wa matendo ya mtoto/umri wa mtoto x 100%
(IQ= MA/CA x 100%)
Sio kila mtoto ni genius wengine ni...
Kikweli hata sisiem akitoka madarakani huko nje sijaona chama cha kuiondoa nchi hii katika haya inahitaji mtu mmoja tu kichaa kwenye kila kada ndio tutafika tunapopataka
Kikubwa hili ni janga la taifa hapo baadae na hatutoweza kukua kiuchumi km nchi sehemu ya mzunguko wa fedha ni moja.
Ndiomana mwendazake alijaribu kutengeneza miundombinu na sera yake ya viwanda lengo ilikuwa n kuepuka maswala km haya.
Hivyo kama uongozi ulio madarakani usipochukua uamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.