Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,297
Unashauri Nini mkuu,naona umelalamikaaaa ,then umeondoka !! Hapo hujasaidia kitu !!
Uzur wote CCM! Uaneni wenyew huko!!Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!
- Sukari @kg 3,200/=
- Mchele @kg 3,200/=
- Sembe @kg 1,700/=
- Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
- Mkaa gunia @ 70,000/=
- Maharage @kg 4,000/=
Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.
Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!
Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!
Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.
Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.
Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.
Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
- Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
- Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
- Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
- Bwawa la umeme la JNHP.
- Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
- Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
- Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
- Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
- Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
- Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
- Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
- Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
- Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
- Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
- Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
- Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
- Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
- Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
- Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
- Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
Sis masukuma gangtunataabika tunasurubika
Kuna watu nchii hii wenye msongo wa mawazo kupita Sukuma gang?Ni mpumbavu mmoja kama wewe tu!
Ni mbinafsi mmoja tu kama wewe!
Ni mjingamjinga mmoja tu kama wewe!
Ambaye wajati tunaangalia yaliyoko mbele yetu,wewe bado umeshikilia koleo pembeni ya kaburi la mfu aliyeondoka Duniani miaka miwili iliyopita!
Ambae wewe Kinoamiguu mjinga ambae hata ripoti ya CAG bado unataka ukasome na Marehemu Magufuli!
Tatizo lako ni msongo wa mawazo uliopitiliza,....
Ninas8kitika kuchangia uraia na wapuuzi kama wewe usiyejitambua hata kujua ulikuja Duniani kufanya nini?
Kama jiwe aliongoza nchi hii na tukavumilia, sasa tatizo gani zaidi ambalo tutashindwa kulivumiliaAsante kaka tuko pamoja,Tanzania ni tatizo kubwa ukiiongezea viongozi wa aina tulio nao!
Hata wale wanaofeli mitihani yao shuleni/vyuoni huandika mengi pia
Sis masukuma gang
Mkuu, hii ndiyo sababu ya hitaji la kutaka kujengwa kwa taasisi imara badala ya mtu imara, kwa kuwa akiondoka tu, kila kitu kinabaki kuwa historia. Basi ukisikia watu wanataka katiba mpya utambue kuwa kupitia kwayo dhamira hii inaweza kutimia.Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!
- Sukari @kg 3,200/=
- Mchele @kg 3,200/=
- Sembe @kg 1,700/=
- Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
- Mkaa gunia @ 70,000/=
- Maharage @kg 4,000/=
Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.
Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!
Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!
Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.
Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.
Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.
Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
- Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
- Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
- Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
- Bwawa la umeme la JNHP.
- Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
- Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
- Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
- Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
- Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
- Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
- Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
- Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
- Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
- Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
- Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
- Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
- Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
- Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
- Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
- Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Wew ambaye hutumiki umefanya kipi sasa kwani mpaka bei ya unga, sukari na nyama inakushida baada ya mungu wenu kufaNa kwa sasa tangu mmeruhudiwa mikutano ni kipi positive mlichokifanya zaidi ya kuendelea kupigana na mfu Magufuli?
Ni kipi mnekifanya cha maana zaidi ya kuungana na kundi hilo hilo la wauwaji na kuendelea mapambio?
Kipi kimefanyika tangu mmesema demkrasia imerudi?
Nani alikwambia wananchi wanakula demokrasia?
Acheni kurtumikaView attachment 2593097
Sukuma gang ni jina baya kwani?Ndio sisi mnaotuita Majina mabaya,na wengine ndio hao wanaosukumizwa nchi za nje huko mbali ili majizi yaendelee kuiba!
Hakuna mafanikio kama wasimamia katiba ni hawa hawa!Mkuu, hii ndiyo sababu ya hitaji la kutaka kujengwa kwa taasisi imara badala ya mtu imara, kwa kuwa akiondoka tu, kila kitu kinabaki kuwa historia. Basi ukisikia watu wanataka katiba mpya utambue kuwa kupitia kwayo dhamira hii inaweza kutimia.
Unga mkono jitihada za upatikaji wa katiba mpya. Mkuu kama sikosei ulikuwa mmojawapo wa watu mliofurahishwa na ushindi wa kimbunga wa CCM katika chaguzi za 2019 & 2020. Na shagwe kuu mlishangilia upinzani ukigalagazwa kwa dhuluma na ukatili mwingi. Sasa haya ndiyo matokeo ya Bunge la chama kimoja kuisimamia serikali yake.
Kesi ya nyani ipo mikononi mwa tumbili. Mwenye shamba la mahindi analalamika kuharibiwa kwa shamba lake na kupata hasara kubwa. Lakini hukumu ndiyo imetoka na ushindi amepewa mlalamikiwa, na katika kukazia hukumu, hakimu amesema hoja za mlalamikaji hazina mashiko yoyote yale, kwa kuwa ilikuwa ni haki kwa mlalamikiwa kujitafutia riziki yake katika shamba hilo ili asife yeye na familia yake.
Hakuna kitakacho badilika nchi hii kama ccm bado ipo madarakaniSasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!
- Sukari @kg 3,200/=
- Mchele @kg 3,200/=
- Sembe @kg 1,700/=
- Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
- Mkaa gunia @ 70,000/=
- Maharage @kg 4,000/=
Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.
Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!
Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!
Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.
Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.
Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.
Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
- Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
- Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
- Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
- Bwawa la umeme la JNHP.
- Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
- Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
- Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
- Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
- Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
- Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
- Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
- Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
- Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
- Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
- Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
- Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
- Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
- Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
- Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
- Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Umesahau na vile viwanda 4000, million 50 kila kijiji na laptop kwa kila mwalimu.Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!
- Sukari @kg 3,200/=
- Mchele @kg 3,200/=
- Sembe @kg 1,700/=
- Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
- Mkaa gunia @ 70,000/=
- Maharage @kg 4,000/=
Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.
Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!
Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!
Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.
Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.
Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.
Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
- Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
- Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
- Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
- Bwawa la umeme la JNHP.
- Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
- Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
- Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
- Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
- Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
- Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
- Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
- Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
- Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
- Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
- Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
- Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
- Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
- Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
- Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
- Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Kwa hiyo unasubiria upinzani makini? Upinzani uliopo umeupima kwa kipimo kipi? Upi mchango wako- umekuwa na mchango gani kwenye ule upinzani usio makini ili kuuboresha?Uko sahihi,tatizo ni kwamba sasa hivi hakuna upinzani makini nchi hii.
Angalia jana ACT wamezuiwa maandamano yao,lakini wakachukulia poa as if hakukuwa na hoja makini.
Hata akiondoka kikwete, kama bado ccm ipo madarakani hakuna kitakacho badilika, nchi hii haijaanza kuoza kwa kikwete imeanzia mbaliSema hivi....
"Hakuna kitakachobadilika kama Kikwete ataendelea kuwepo na genge lake,huku akishikilia remote control "
Kwa nini kuumauma maneno!
Na ndio maana tulimuhitaji Magufuli kwa sababu alitokea kwa wakati muafaka!Kikweli hata sisiem akitoka madarakani huko nje sijaona chama cha kuiondoa nchi hii katika haya inahitaji mtu mmoja tu kichaa kwenye kila kada ndio tutafika tunapopataka
Kaichukue hiyo remote umpatie mmoja wa Sukuma gangSema hivi....