Recent content by MAGAZI JUTO

  1. MAGAZI JUTO

    GE2020 Kwenye mitandao ya kijamii na mtaani, Membe hakubaliki

    SANDUKU LA KURA LINALORATIBIWA NA NEC NDIO MSEMAKWELI WA MWISHO. Huko twitter nadhani hata mkenya anaweza kupiga kura. :cool::cool::D
  2. MAGAZI JUTO

    Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

    Mbona mimi nimemuelewa vizuri tu.
  3. MAGAZI JUTO

    Kwenye samaki unapenda kula nini?

    Hapana sio miba ni ile miguu ya samaki si unaijua ina mifupa fulani na ngozi mkuu:D:D
  4. MAGAZI JUTO

    Kwenye samaki unapenda kula nini?

    MI NAPENDA KULA MAKONGORO YA SAMAKI :cool:
  5. MAGAZI JUTO

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    HAPA KAZI TU-Beka Flavour
  6. MAGAZI JUTO

    Fursa: Biashara za kuuza sare za chama mikutanoni

    Sharti uwe na kadi za uanachama wa chama husika
  7. MAGAZI JUTO

    Naombeni kufafanuliwa kuhusu hii kozi

    TIME WILL TELL Mshauri aombe (afanye application) kwa programme zote mbili then aone atapata ipi. Inaonekana dogo lako anaongozwa na mihemko ya fani zinazopiga pesa sasa kaona teleCom hailipi ndio kaamua kubadili gia hewani.
  8. MAGAZI JUTO

    Tangazo: Wauguzi wasio na leseni mpya kufutwa kazi

    Ndg hizo gharama za leseni ni deal za watu ambao wanajipa vyeo vya msajili nk. Lengo la leseni ni zuri tatizo ni hizo gharama kuwa kubwa sana. Ukienda wizara ya afya utakuta wamejipa kijiofisi na wameacha majukumu ya uuguzi wanatumia hizo fedha kujilipa tuvikao na tusafari twa hapa na pale...
  9. MAGAZI JUTO

    Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

    Mbona simple sana! Hz pub huwa zinafungua mapema kwa gia kuwa wanauza vinywaji laini. Mm kuna chimbo wana zile container za plastic za juice ambazo juu zina mfuniko na mrija. Container moja inajaa bia yote tena ile kubwa ya 500mls. Hivyo kilaini unakaa nje kma unakunywa juice vile. Ni mbinu tu.
  10. MAGAZI JUTO

    Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

    Ila wao mbona wanajidunga mapemaa kwenye pub zao
  11. MAGAZI JUTO

    Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

    Hii issue ya kusema kuwa kuna kosa la kunywa pombe mida ya kazi lina ukakasi sana. Ina maana ule muda ambao gambe huanza kuuzwa wale wanaokuwa kazini hua sio muda wa kazi??? Tunaleteana mambo sio.
Back
Top Bottom