Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

Wahuni walinikuta nmamchakata demu wangu kwenye gari wananibeba kwenye defender huku mmoja anaendesha gari yangu katika kuwapiga sound sina hela wakaniambia twende ATM za pale Africa sana, hapo nilikuwa maeneo ya kanisa la kijitonyama uwezi amini walinipitisha pale corner bar kwenye defender na demu wangu niliona noma sana
 
ha ha ha noma sana wewe jamaa misala yako inafanana na ya kwangu ila sisemii
 
daa broo wewe ni noma
Mbona simple sana! Hz pub huwa zinafungua mapema kwa gia kuwa wanauza vinywaji laini. Mm kuna chimbo wana zile container za plastic za juice ambazo juu zina mfuniko na mrija. Container moja inajaa bia yote tena ile kubwa ya 500mls. Hivyo kilaini unakaa nje kma unakunywa juice vile. Ni mbinu tu.
 
daaa itabidi ninunue lile vile vijagi vinamfuniko unaweza ukanywea juicea hata kama uko kweye garii
 
Muwege mnavumilia hadi muda ulioruhusiwa ufike!
Tii sheria bila shuruti
 
Habali wakuu
Tunakoelekea mwisho wa mwaka ngoja niwape story nyepesi nyepesi kama ukufanya malengo mwaka huu usikate tamaa mwakani unayo nafasi ya kufanya makubwa.

Back to the point wiki iliopita week days kama juma tano nilikuwa nafanya kazi zangu out of office ilivyofika saa sita mchana nikawa nimemaliza niko free tuu nikaingia pub flani mitaa ya mori pale ,nimeagiza gambe mhudumu akasema njoo ujifiche kaunta kwa ndani hii mida ya kazi muda wa kupiga vyombo bado ,ebwana nikazama nikakutana na wala gambe

wengine kaunta pale kama wa nne vyombo vikaendelea baada ya nusu saa naona mtutu wa bunduki nyuma yangu maaskali wameingia mikwala kibao kuna mshikaji mmoja akataka kukimbia kapigwa kitasa nikasema leo naumbuka ,nikawaambia tuyajenga hakuna mualifu hapa ni utaratibu tu umekiukwa jamaa wakagoma tukatiwa kwenye karandinga aibu kinoma

Nikaawambia chukua ela kadhaa mniachie nikawapa kitambulisho cha kazi wakamind wakasema mfanyakazi mzima unakula gambe time hii.of course nilitoka baada ya muda kidogo ila ile fedheha aikuwa poa nimekula shati suruali na moka napata aibu ile jamani tueshimu mida ya kula maii.
Wazee wa povu ruska
Utakuta na washikaji wameshakurusha live kwenye mitandao huku kampuni yako ikikuangalia tu
 
ila wakuu ombeeni hii vurumai msikutane nayo inakutoa kwenye mood kabisa pumbavu sana
Mi limenikuta mara mbili. Na zote Nikaonesha ushirikiano wakaniacha naendelea kuranduka.
 
unawapaga tips gani mzee,mm uwa sina upepo nao sema nikiwaga gagged uwa naongea sana thats a weakness
 
Habali wakuu
Tunakoelekea mwisho wa mwaka ngoja niwape story nyepesi nyepesi kama ukufanya malengo mwaka huu usikate tamaa mwakani unayo nafasi ya kufanya makubwa.

Back to the point wiki iliopita week days kama juma tano nilikuwa nafanya kazi zangu out of office ilivyofika saa sita mchana nikawa nimemaliza niko free tuu nikaingia pub flani mitaa ya mori pale ,nimeagiza gambe mhudumu akasema njoo ujifiche kaunta kwa ndani hii mida ya kazi muda wa kupiga vyombo bado ,ebwana nikazama nikakutana na wala gambe

wengine kaunta pale kama wa nne vyombo vikaendelea baada ya nusu saa naona mtutu wa bunduki nyuma yangu maaskali wameingia mikwala kibao kuna mshikaji mmoja akataka kukimbia kapigwa kitasa nikasema leo naumbuka ,nikawaambia tuyajenga hakuna mualifu hapa ni utaratibu tu umekiukwa jamaa wakagoma tukatiwa kwenye karandinga aibu kinoma

Nikaawambia chukua ela kadhaa mniachie nikawapa kitambulisho cha kazi wakamind wakasema mfanyakazi mzima unakula gambe time hii.of course nilitoka baada ya muda kidogo ila ile fedheha aikuwa poa nimekula shati suruali na moka napata aibu ile jamani tueshimu mida ya kula maii.
Wazee wa povu ruska
Yani hata mtu akiwa likizo haruhusiwi kula gambe anavyotaka?

Ndiyo maana siku hizi likizo wengine tunaenda visiwa vya Turks and Caicos.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom