kimara flesh eh ehUwe unaenda bar walizokata kibali cha kuuza bia masaa 24 huku kimara tunajiachiaa tuu hapa
sheria za kijinga sana mzeeKwamba hairuhusiwi kunywa pombe mida ya kazi?
Serikali ndio imeweka huo utaratibu kuwa muda wakazi unaanza kuanzia saa 1 asubuhi - saa 10 jioni swala la unalikizo au uko msibani hawajui nunua kwanywee nyumbani kwako sio kukaa bar ndani ya masaa hayo.Mida ya kazi ni saa ngapi? Vipi anayefanya kazi za shift? Vipi aliye likizo au msibani??
Kumbe tatizo sio kunywa bali tatizo ni kunywea bar.... wonders shall never end.Serikali ndio imeweka huo utaratibu kuwa muda wakazi unaanza kuanzia saa 1 asubuhi - saa 10 jioni swala la unalikizo au uko msibani hawajui nunua kwanywee nyumbani kwako sio kukaa bar ndani ya masaa hayo.
😂😂 muda huo sindio upo likizo,unaingia shift au uko msibani.Kumbe tatizo sio kunywa bali tatizo ni kunywea bar.... wonders shall never end.
Yaani ukinywea nyumbani unakuwa unachapa kazi sio?
kweli broo aspirin maajabu hayataisha hakuna logic ya kupangia watu masaa ya kula vyomboKumbe tatizo sio kunywa bali tatizo ni kunywea bar.... wonders shall never end.
Yaani ukinywea nyumbani unakuwa unachapa kazi sio?
unaenda wapi mzee
Dah,sheria za kijinga sana mzee
yeah maji na soda ruksaDah,
Hii sikuwa najua...
Kwa hiyo kukaa kunywa vinywaji laini inaruhusiwa
Hii issue ya kusema kuwa kuna kosa la kunywa pombe mida ya kazi lina ukakasi sana. Ina maana ule muda ambao gambe huanza kuuzwa wale wanaokuwa kazini hua sio muda wa kazi???😂😂😂 mida yakazi unakula bata.
nafikili wakubwa waliangalie hilii ela yako halafu unyanyasike sio sawa kabisaHii issue ya kusema kuwa kuna kosa la kunywa pombe mida ya kazi lina ukakasi sana. Ina maana ule muda ambao gambe huanza kuuzwa wale wanaokuwa kazini hua sio muda wa kazi???
Tunaleteana mambo sio.
Ila kucheza pool table hairuhusiwi. Yaani soda unaweza kunywa kuanzia moja asubuhi mpaka mida ya kazi iishe...Dah,
Hii sikuwa najua...
Kwa hiyo kukaa kunywa vinywaji laini inaruhusiwa
ila wakuu ombeeni hii vurumai msikutane nayo inakutoa kwenye mood kabisa pumbavu sanaIla kucheza pool table hairuhusiwi. Yaani soda unaweza kunywa kuanzia moja asubuhi mpaka mida ya kazi iishe...
Kwa kifupi ukiwa unakunywa soda unakuwa unachapa kazi kama daktari hospitalini...
Ila wao mbona wanajidunga mapemaa kwenye pub zaoila wakuu ombeeni hii vurumai msikutane nayo inakutoa kwenye mood kabisa pumbavu sana
Mi siku wameninasa nikahojiana nao kiroho safi. Wakaniambia kama napenda kunywa gambe mchana niwe naenda kunywea hotelini...yeah maji na soda ruksa
Sasa haya sindio moja kati ya mambo makubwa yaliofanywa na awamu hii ya 5. AsprinHii issue ya kusema kuwa kuna kosa la kunywa pombe mida ya kazi lina ukakasi sana. Ina maana ule muda ambao gambe huanza kuuzwa wale wanaokuwa kazini hua sio muda wa kazi???
Tunaleteana mambo sio.
Mi siku wameninasa nikahojiana nao kiroho safi. Wakaniambia kama napenda kunywa gambe mchana niwe naenda kunywea hotelini...
Yaani ukinywea hotelini unakuwa unachapa kazi kama mkulima wa Korosho kule Mpitimbi
[/QUOTE
kumbe walishia kuzingua na wewe awa jamaa sio kabisa ela yangu then unipangieMi siku wameninasa nikahojiana nao kiroho safi. Wakaniambia kama napenda kunywa gambe mchana niwe naenda kunywea hotelini...
Yaani ukinywea hotelini unakuwa unachapa kazi kama mkulima wa Korosho kule Mpitimbi
daa broo wewe ni nomaMi siku wameninasa nikahojiana nao kiroho safi. Wakaniambia kama napenda kunywa gambe mchana niwe naenda kunywea hotelini...
Yaani ukinywea hotelini unakuwa unachapa kazi kama mkulima wa Korosho kule Mpitimbi
Nikawaachia elfu 20 yao nikaendelea kupiga ulabu kwa amani, wao wakasepa na difenda lao kwenda kusaka mchango sehemu nyingine. Tangu siku hiyo wakinikuta utasikia tu bro nipige japo moja nitoe Loki. ...