Recent content by magange

  1. M

    JamiiForums Tanzania Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

    Nasubiri vikubwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

    60 not 6
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

    Wekeni na bei wenye nazo na namna inavyotumika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukara Fish Group: Dagaa wa kukaanga wa Mwanza

    Mko Mwanza au Ukara?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za magonjwa ya kuku

    Vipi kuhusu chanjo ya mafua inapatikana wapi kwa kuku wa kisasa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jumba la gorofa linauzwa Bunju

    Umesahau nondo na mbao pia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vituko vya mama mjamzito

    Huo uchovu, kulala na kichefuchefu ndio utofauti wake, sio wote wanaweza kuchagua vyakula na pia sio wote wanaoweza kulala, kuchoka, kupata kichefuchefu, kutapika ama kutema mate. Hivyo km mkeo hachagui kuna anaechagua. Na kila mimba ina vituko vyake...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa nyama kwa bei poa DSM,0767574797

    Bei gani?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugeuzaji wa uvaaji wa Chupi unasaidia sana kutofumaniwa!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuwiii mbavu zangu jamani
  10. M

    JamiiForums Tanzania UDART - kampuni iliyoshindwa au wamezoea kazi au haina uongozi makini

    Wezi pia, mbezi wanatumia nauli 1050 badala ya 800, tiketi kuonyesha matumizi ni ndani ya saa mbili wao kuzikusanya wakati mtu anaweza kuitumia hata kwa kwenda na kurudi. Ukiwaambia wa vituoni eti hizo saa mbili ukiwa ndani ya kituo... Kwani umelipa nauli ukazunguke vituoni. Ni bora kutokuweka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi mita za umeme zinatumia umeme zaidi?

    Asante kwa ufafanuzi mpendwa. Swali linakuja, utajuaje kama umeme unavuja?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hizi mita za umeme zinatumia umeme zaidi?

    Naomba ufafanuzi zaidi hiyo namba 3 maana nami ni mhanga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kurudia kidato cha tatu

    Sio kweli kwamba anaweza kupata matokeo hayo hayo, muhimu ni nia iliyopo ndani mwake. Nina mdogo wangu alisoma miaka minne akapata Div 4 akakaa nyumbani miaka 2 kwa kukata tamaa, baadae akaamua kurudia form two kamaliza mwaka jana na alipata Div 2 sasa anasubiri kuanza chuo kwa kuwa hakutaka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ufugaji wa kuku wa nyama

    Vifaranga 1400@ wa KILACHA, chakula kinaanzia 55000 na kuendelea kwa mfuko wa kg 50
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake warembo wamegundua nini kwetu wanaume wa kikurya?

    Adimu au huwajui na hujawahi kukutana nao, iwapo unawataka wewe sogea tu hapo Banana, ukonga mpaka kitunda, utabroooo
Back
Top Bottom