Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 6,000
Ok good.Sasa niambie jee wanakaa muda gani bila kuharibika?na huwa mmewawekea chumvi kama protection?Vegetable oil
Ok good.Sasa niambie jee wanakaa muda gani bila kuharibika?na huwa mmewawekea chumvi kama protection?Vegetable oil
Ok..Now kwa Dar nikihitaji debe moja niandae bei gani walio kaangwa na chumvi?Wanakaa miez mitatu pia chumvi tunaweza kwa ambae anataka ambao hawana chumvi hatuweki
Ukiupima kwenye mzani unapata kilo ngapi?Ule mfuko unaangia debe 15 dagaa wa kukaanga ambao ni laki6.debe 15 dagaa wakavu 210000.0759292980 kwa maelezo zaidi
Ok mkuu.So kipimo ni ile ndoo ya plastic kubwa ya lita20 right?Elfu50 pamoja na usafiri
Ok thank you!!Ndio
Bado biashara hii inaendelea?Nicheki 0759292980
Unawajua dagaa au unawasikia? Dagaa kilo 100 ni kama gunia 4 hadi 5.....ni wepesi kama pamba au sufi.Nipe bei ya mfuko wa kilo 100, wasiokaangwa na waliokaangwa.