Hizi mita za umeme zinatumia umeme zaidi?

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
1,653
Reaction score
605
Habari wadau

Naomba msaada wenu tafadhali.Nimefungiwa hizi Mita pichani.Experience yangu ya matumizi ya LUKU yananipa mashaka na haina hii.Sina vitu vingi lkn nikiweka hata unit za elfu ishirini yaani hazichukui raundi kabisa.Kuna fundi umeme kanambia mita hozi zinatumia umeme mwingi na wengi wamebadilishiwa.
ATTACH]
 
Attachments

  • 1476453143988.jpg
    1476453143988.jpg
    43.2 KB · Views: 39
Kubana matumizi ni sera ya nchi kwa sasa!

Huduma kidogo, Kodi zaidi!

NAMBA za mita UMEZISOMA tayari?

Endelea kuzisoma namba!
 
HAKUNA UHUSIANO KATI YA AINA YA MITA NA MATUMIZI MAKUBWA YA UMEME.VITU VINAVYOPELEKEA MATUMIZI MAKUNWA YA UMEME NI VIFUATAVYO
1.TABIA YA WATUMIAJI
2.VIFAA VYA UMEME KAMA SIO ENERGY SERVER LAZIMA UMEME UTUMIKE SANA
3.UBORA WA WIRING YAANI MTANDAO WA NYAYA NDANI YA NYUMBA
 
HAKUNA UHUSIANO KATI YA AINA YA MITA NA MATUMIZI MAKUBWA YA UMEME.VITU VINAVYOPELEKEA MATUMIZI MAKUBWA
YA UMEME NI VIFUATAVYO
1.TABIA YA WATUMIAJI
2.VIFAA VYA UMEME KAMA SIO ENERGY SERVER LAZIMA UMEME UTUMIKE SANA
3.UBORA WA WIRING YAANI MTANDAO WA NYAYA NDANI YA NYUMBA
 
HAKUNA UHUSIANO KATI YA AINA YA MITA NA MATUMIZI MAKUBWA YA UMEME.VITU VINAVYOPELEKEA MATUMIZI MAKUNWA YA UMEME NI VIFUATAVYO
1.TABIA YA WATUMIAJI
2.VIFAA VYA UMEME KAMA SIO ENERGY SERVER LAZIMA UMEME UTUMIKE SANA
3.UBORA WA WIRING YAANI MTANDAO WA NYAYA NDANI YA NYUMBA
Ubora wa wiring unahusikaj?
 
wiring ikiwa mbovu au vifaa ulivyotumia kuwekea wiring au utaalamu ukiwa haukidhi viwango basi umeme unaweA kuwa unapotea ndani ya nyumba na wewe kuwa unalipia umeme usiotumia.hii inakuwa ngumu kubaini kwa macho kwa kuwa kuvuja kwa umeme sio kama maji uone yakimwagika
 
Asante kwa ufafanuzi mpendwa. Swali linakuja, utajuaje kama umeme unavuja?
 
kwa unaweza kufanya majaribio kwa kuzima umeme angalau masaa kadhaa wakati huo kabla haujazima angalia mita inaunit ngapi baada ya muda utakakuwa umezima angalia kama unit zitakuwa zimepungu.zikipungua inawezekana umeme utakuwa unapotea

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
tunaomba namba yako ya mita na simu tukupatir maelezo
Da hii kwangu imekuwa issue nimekanyaga Tanesco bila suruhu umeme nauziwa bei ya juu zaidi ya tsh 290 wakati sijawahi tumia units zaid ya 45 kwa mwezi, nikiwaeleza wanasema itajitoa yenyewe kwenye bei hizo but sioni mabadiliko
1476774964728.jpg
 
Vifaa vinavyotumika kupimia vinatakiwa kuhakikiwa usahihi wake mara kwa mara. Yawewzekana hiyo mita haipo sahihi. Hii ni changamoto kwa wateja na TANESCO wenyewe.
 
Mita hizo za umeme au LUKU zinahakikiwa/zinapimwa na taasisi gani ya serikali, ili tuwaeleze matatizo haya maana hata mimi tatizo hilo ninalo.
 
Habari wadau

Naomba msaada wenu tafadhali.Nimefungiwa hizi Mita pichani.Experience yangu ya matumizi ya LUKU yananipa mashaka na haina hii.Sina vitu vingi lkn nikiweka hata unit za elfu ishirini yaani hazichukui raundi kabisa.Kuna fundi umeme kanambia mita hozi zinatumia umeme mwingi na wengi wamebadilishiwa.
ATTACH]
Boss mm fundi umeme shida sio mita kama sio wire ring ndani kuna kitu kinaitwa earthlod kama amna au chuma kimeoza ujue umeme utaenda sana kama uko dar nitafute no 0713423620
 
Back
Top Bottom