Naomba ushauri: Nataka kurudia kidato cha tatu

Mimi ni kijana wa miaka 19 Baada ya kumaliza kidato cha 4 mwaka 2014 katika shule ya serikali na kupata GPA 0.6
Yaani
Math F
Civics E
Kiswahili C
Geography F
History D
Biology F
E.Language D

Sasa nataka mwakani niende kidato cha 3 kusoma ili nitafute C mbili ili nisome kidato cha 5.

Swali langu ni hivi je nikienda shule ya sekondari ya serikali nikasome kisha nijisajili kama mtihaniwa binafsi je watanikubalia?
Dah mdg na we ulizingua hapo duh[emoji15]
 
Umekaa miaka 4 darasani ndo ukapata hayo matokeo wewe hataukirudia tena matokeo yatakuwa hayo hayo acha kupoteza muda jichanganye veta kagonge fani yoyote unayoipenda mambo yatakaa poa tu!
Acha kumkatisha dogo tamaa, anaweza kurudia akapata hata Div one. Kuna jamaa tulisoma naye Huduma sekondari akapata 'O'. Akafurukuta wee leo hii ni mhadhiri wa chuo kikuu.
Dogo furukuta tu hujui Mungu alichokupangia
 
Sio kweli kwamba anaweza kupata matokeo hayo hayo, muhimu ni nia iliyopo ndani mwake. Nina mdogo wangu alisoma miaka minne akapata Div 4 akakaa nyumbani miaka 2 kwa kukata tamaa, baadae akaamua kurudia form two kamaliza mwaka jana na alipata Div 2 sasa anasubiri kuanza chuo kwa kuwa hakutaka kwenda form 5. Ila alirudia shule binafsi
 
nashukuru sana kwa ushauri mkuu
 
hata mimi huu ni mwaka wa pili nipo nyumban
 
Achna na mamb ya kurud nyuma ktk maisha,alama ulizonazo unaenda cert na unaendlea mbele ukird nyuma unaweza ucfanikiwe ukaootza tym,na dunia ya sasa co ya kurud nyuma
 
kwa ushauri wang rud shule kwan unaweza ukafany vizuri kuliko mwanzo and hata kama ukapata c mbili ukichanganya na hiyo moja kwa comb kubalance unaweza kwenda 5 kwa shule ya private.
 
keep it up elimu haina mwisho,kuna watu wanataman kurud shule sema hawana wa kuwawezesha kama umepata nafas ya kurud shule rud kasome.
 
Mimi ni kijana wa miaka 19 Baada ya kumaliza kidato cha 4 mwaka 2014 katika shule ya serikali na kupata GPA 0.6
Yaani
Math F
Civics E
Kiswahili C
Geography F
History D
Biology F
E.Language D

Sasa nataka mwakani niende kidato cha 3 kusoma ili nitafute C mbili ili nisome kidato cha 5.

Swali langu ni hivi je nikienda shule ya sekondari ya serikali nikasome kisha nijisajili kama mtihaniwa binafsi je watanikubalia?
Kama upo vizur kiuchum nenda private tu
 
Back
Top Bottom