Recent content by Magadu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ampiga dongo Zitto Kabwe(?)

    Huna haja ya kuomba msamaha mkuu. Tatizo ni kuwa uelewa wa watu wengi humu ni wa shule za kikatakata tu. Watu wanataka kutafuniwa hadi madem zao wenyewe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2015: Changamoto Kuu za CHADEMA ni nini?

    Chadmea hawan tofauti na Obama. Kuremba kwiiiiingi kumbe kichwani hamna kitu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

    Tabora Vijijini is in Tabora region.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

    Huyo anaongelea juu ya kufungua matawi. Usimlazimishe mtu atoe hela zake ili kuanzisha tawi. Kwanza unajuaje kama anazo hizo hela?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

    Nyie watu vipi? Yaani mnataka matawi yaanzishwe kwa gharama za mtu binafsi? Hivi mnajua sheria ya uendeshaji wa vyama vya siasa au mnaongea tu? Chadema ni chama kinachopokea ruzuku kutoka serikalini ambayo ndiyo kisheria inapaswa kufungulia hayo matawi mapya sehemu kama Bukoba vijijini.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

    Chadema watasubiri sana kuiona ikulu kama mwendo wenyewe ndiyo huu. Yaani makelele meeengi kumbe yote ya chura tu kudadeki. Hivi ukitoa Arusha na Kilimanjaro, ni sehemu gani nyingine ambapo kinafahamika hiki chama?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Change into english

    Ili iweje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Hamuishiwi visingizio magwanda. Eti daftari ndilo limewafanya mchakazwe hivyo? Acheni uzushi nyieeee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Viongozi wa Chadema hawana mikakati ya kushinda chaguzi ndogo wale. Wanachojua wao ni kwagombanisha wananchi na serikali yao tu na sidhani kama hiyo ni mbinu nzuri ya kukitoa CCM madarakani. Kama wanataka kushinda urais 2015, waache mambo yao ya chuki dhidi ya serikali halafu waanze kuwavuta...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Halafu eti magwanda bado yana ndoto ya kuchukua nchi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Pawaa wapi wewe wakati mmeshinda vikata viwili tu nyie magwanda
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Yaani magwanda yameshinda kata mbili kati ya 29 halafu yanashangilia utadhani yamechukua nchi. Kweli akili za watu wengine ni kama mayai viza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yote haya ni matokeo ya upinzani dhaifu...?

    Wapinzani njaa tu hawa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Hatusemi kuwa degree yake ni ya kushusha kaptura kwasababu yeye siyo kiongozi wa chama kama alivyo Lema. Lema ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani kwahiyo inabidi atueleze ni kitu gani alifanyika kinyume cha maumbo alipokuwa gerezani.
Back
Top Bottom