Recent content by mafwili

  1. M

    Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Pole san ndugu ushauri wangu onana na watumishi wa mungu wakupe ushauri yamkini kuna laana au matambiko ya ukoo yamekufunga.dawa ni nguvu za mungu kutumika na kuyavunja maagano.tuwasiliane.boathy@yahoo.com
  2. M

    Acheni roho mbaya mpeni Marks zake

    Yupo bomba .mnaoponda leteni picha za mademu zenu tuzilole.
  3. M

    Wazanzibari hawataki muungano wanawafukuza wabara visiwani kwao

    salaam ndugu wapendwa. matukio ya hivi karibuni juu ya mjadala wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya katiba ya Tanzania yaliibua na kuweka hadharani hisia za wenzetu katika muungano huu wa Tanzania. wakati wa mjadala uliofanyika katika hotel ya Bwawani mjini Unguja wanzabari walionekana kuwa...
  4. M

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    Ahaaaaaa kumbe mchwa wa bongo ndiyo hao ! ebu sasa ndugu uliyewataja au yeyote yule atutajia mmoja mmoja na dhambi zake ili jamii iwatambue na kwa ubaya wao...ahsante kwa orodha yako
  5. M

    Tumeichagua CCM Wenyewe Sasa Tunalalamika Nini Kuhusu Umeme!?!?!

    heee kwani CCM inazalisha umeme? au CCM inahusika vipi na kadhia ya umeme? kumbe kila kero ni CCM? tubadilike tuwe wakweli tuilaumu CCM kwa makosa yake na si kila kero ni CCM, tuache ushabiki wa kitoto.....tujadili hoja, tupo huru kuwa wanachama wa chama tukipendacho tena kwa sababu mbali...
  6. M

    Kwa ambao bado wana imani na pinda

    Mimi bado nina imani na mtoto wa mkulima Mhe Pinda tena nina imani kwa hili hawezi kunyamaza atajibu tuu .ebu tumpe muda afikirie cha kujibu.Aisee kama unataka kupata ugonjwa wa moyo na kufupisha umri wa kuishi hapa duniani ebu endelea kudadisi mali hii ni ya nani...maana walionazo wengi siyo...
  7. M

    Tigo iko bofu bana.....mtandao wa tigo huduma zero

    oops sorry for tyiping error.....(masahihisho) ....ok japo sina hasira Salaam, mimi ni mteja wa huduma za mtandao wa TIGO kwa muda mrefu.nimekuwa nikitumia mtandao huu tangu enzi za mobitel ,buzz,na sasa Tigo. Kwa masikitiko yangu mtandao wa Tigo pekee ndio hauna huduma ya kupiga na kuongea...
  8. M

    Tigo iko bofu bana.....mtandao wa tigo huduma zero

    Salaam, mimi ni mteja wa huduma za mtandao wa TIGO kwa muda mrefu.nimekuwa nikitumia mtandao huu tangu enzi za mobitel ,buzz,na sasa Tigo. Kwa masikitiko yangu mtandao wa Tigo pekee ndio hauna huduma ya kupiga na kuongea na mhudumu (100) kama una jambo la kuuliza au kulalamikia huwezi kupata...
  9. M

    Karibuni kijijini kwetu, japo ni mbali ndivyo tulivyo......vijogoo mtapona

    Ni mambo ya mila ,kule wanafanya hivi na huku hivi, yote ni kutimiza ya wahenga walivyo ishi, sisi tupo bado na mila zetu,
Back
Top Bottom