Karibuni kijijini kwetu, japo ni mbali ndivyo tulivyo......vijogoo mtapona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibuni kijijini kwetu, japo ni mbali ndivyo tulivyo......vijogoo mtapona

Discussion in 'Jamii Photos' started by mafwili, Dec 14, 2010.

?

mtapona

 1. karibuni

  100.0%
 2. kwetu

  100.0%
 1. m

  mafwili Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mambo ya mila ,kule wanafanya hivi na huku hivi, yote ni kutimiza ya wahenga walivyo ishi, sisi tupo bado na mila zetu,
   

  Attached Files:

 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  hio polls ya ukweli nimevote mara mbili kwa wakati mmoja kwanza haieleweki
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hii nadhani siyo mahala pake!!!

  MODS please!
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,734
  Trophy Points: 280
  We G. mafwili, post ya kwanza huwa tunaanzia kwenye hodi........na si huku............ WE POST YA KWANZA TU UMEANZA NA MIPICHA YAKO HIYO
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Hapa naona mtu unaweza kuhonga nyumba ya urithi.
   
 6. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha namba tatu pale kuna ubikiraa kwelii!!
   
Loading...