Tumeichagua CCM Wenyewe Sasa Tunalalamika Nini Kuhusu Umeme!?!?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumeichagua CCM Wenyewe Sasa Tunalalamika Nini Kuhusu Umeme!?!?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Dec 23, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana JF,

  Hivi wananchi wanaolalamika kuhusu kupanda kwa bei ya umeme, walitarajia nini wakati wenyewe ndiyo walioichagua ccm?? Mtazamo wangu ni kuwa kama wamemchagua jk na ccm yake, basi watulie wanyolewe vizuri.

  Kamwe wasilalamike maana wao ndiyo walioiweka serikali madarakani. Kupanda bei kwa huduma muhimu kutaendelea mtindo mmoja mpaka kieleweke.

  Hivi sasa sumatra wapo kwenye mchakato wa kupitisha nauli mpya za usafiri wa mabasi. Ewura wana maombi lukuki ya kupandisha bei za huduma ya maji kutoka miji mbalimbali nchini.

  Kwa kuwa wenyewe ndiyo tumeichagua CCM basi siyo busara kuleta usumbufu. Tutulie tunyolewe hata kama wembe unaotumila ni butu. Maumivu tutakayopata yatatusaidia kufanya uamuzi wa busara ifikapo 2015.
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hawakuichagua bali waliibiwa kura zao. Wewe ungeshauri kuwa safari nyingine wasikubali waibiwe kura zao
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Natamani sana haya matatizo yazidi labda wadanganyika ndio tutapata akili ya kutambua madhara ya kuikumbatia ccm.Mi naamini huu ni mwanzo tu,mengi yanakuja.ARI ZAIDI,KASI ZAIDI na NGUVU ZAIDI!
   
 4. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watanzania hawakuichagua ccm... kikwete na wezi wenzake walikwiba kura na kujitangaza kuwa washindi
   
 5. K

  Kivia JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndo dawa yao
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ukichagua hovyo huna haki ya kulalamika kwani nafasi mliyopewa mkabakia na lugha ya oh huyu ndo kanilea, tumezaliwa humu! basi, sukari/chumvi, umeme, mkaa, nauli, nk zikipanda bei, ndo hiyo inakulea uzoee matatizo
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Uliwachagua wewe na wakurupukaji wenzio.
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Kumbuka kura waliiba, ila 2015 kamwe kura kuibiwa ni ndoto, maana as u said maisha yatapanda ile mabaya, mafisadi wanataka 185bil mapema
  nasema wananchi wataamua wenyewe kwa mikono yao kwa hali itakavyokuwa tight, wait & see mwaka mmoja tu, maandamano kila kona, wait
   
 9. m

  mafwili Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heee kwani CCM inazalisha umeme? au CCM inahusika vipi na kadhia ya umeme? kumbe kila kero ni CCM? tubadilike tuwe wakweli tuilaumu CCM kwa makosa yake na si kila kero ni CCM, tuache ushabiki wa kitoto.....tujadili hoja, tupo huru kuwa wanachama wa chama tukipendacho tena kwa sababu mbali mbali.Nchi inapo pata matatizo tuyajadili na kuyatafutia ufumbuzi...tusielekeze malalamiko pasipotakiwa.

  Ndugu ebu fikiria mtoto wako anaumwa unyafuzi badala yake wewe unaamini karogwa utapata tiba sahihi? mtoto atakutoka huyo.
  Tuache hizooooooooo
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  wengine wanafanya biashara ya kukaanga mihogo huku pembeni kibendera cha ccm kinapepea.

  umasikini huu wa mawazo utatuangamiza.

  wapandishe tu: umeme. kodi za nyumba. maji. misosi. nyaya moja@Tshs.200 all the shyt stuff.
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,576
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Mimi naomba mchana na usiku matatizo yaongezeke nchi hii kwani pamoja na kuwa JK yupo madarakani kwa wizi wa kura, lakini wapo watu wengi bado wanampenda nakuikumbatia CCM, sasa ifike mahali asiwepo hata mtu mmoja mwenye akili timamu ambaye hanufaikai na ufisadi wa CCM amabye ataipenda CCM.Nasema hivi kwa vile wadanganyika wengi bado hawajafunguka akili na kuona kuwa matatizo ya nchi yetu yanatokana na UONGOZI MBOVU, kwani mwenyezi Mungu alituandalia watanzania tuwe na maisha bora saana kwa kutuumbia rasilimali lukuki katika ardhi yetu lakini wanaonufaika na utajiri huu ni wageni wakishirikiana na genge la JK na washikaji zake.ALAANIWE JK, ILAANIWE CCM, ILAANIWE TISS, ILAANIWE NEC.
   
 12. c

  chamajani JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shiiiiiiiiiiiiii!
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,576
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe hujui kuwa CCM ndiyo chama tawala? Mambo yakiwa mazuri wanastahili pongezi, lakini mambo yanapoharibika kama ilivyo sasa wao ndiyo wanastahili lawama, tatizo la umeme lina zaidi ya miaka 20 sasa, hivyo kama watawala wameshindwa kupata ufumbuzi wake basi HAWAFAI.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wadanganyika ni wadanganyika tu no matter what watapigika ile mbaya miaka 4 na nusu halafu ile nusu ingine kable ya kampeni wanapunguziwa vitu bei kidogo then wanasema eeewaaaaa hii ndio serikali inayojali watu wanaichagua tena. We have looooooong way to go. Wasilalamike walipe tu hizi bei zilizo pand a hawawezi wakae giza they might learn something.
   
 15. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Poleni sana watanzania na waafrika kwa ujumla!
  Afrika itaendelea pale kizazi kilichosomeshwa na mkoloni kikiisha au akija kiongozi aliyeingia msituni kupambana na wakoloni kama ilivyo ghana!
  Vinginevyo haya yataendelea!
   
 16. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Wananchi walichagua CCM. Uchaguzi si urais peke yake. Hao wananchi wangewapa vyama vya upinzani wabunge wa kutosha kuikosesha CCM majority katika bunge ningewaalewa. Wakulaumiwa si waliopiga kura peke yao bali na ile asilimia 60 iliyokaa nyumbani na kususia. Haya ndiyo matokeo yake. Mandate ya kutawala wamepewa CCM. Waacheni watawale.

  Amandla.......
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naona wengi mnabangaiza kuhusu wizi wa kura ,jamani kura hazikuibiwa hata moja uchaguzi ulikuwa shwari na wa kufana kabisa ila matatizo ya hapa na pale yalikuwepo.
  Wizi wa kura waliwacha zamani ,CCM wana Tume wana vyombo vya usala kwa ufupi vyombo ya dola vyote ni vyao ,sasa kuna umuhimu gani wa kuiba kura ? Hivi mnasahau kuwa Tume ikimtangaza Raisi ndio machezo yote yamekwisha ,hawa ni makamisaa wanaoamua baada ya mchezo kumalizika.
   
 18. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Acha tu bei zipande.Waliokaa nyumbani walioipigia kura ccm sasa ndio muda wao wa kulia.Nani hajui kuwa wafanyabiashara ndio wanaochangia kampeni za ccm ili baadae warudishe pesa yao kwa njia ya kupandisha bei.ZITAENDELEA KUPANDA SANA HII NI INTRODUCTION TU.KWENYE KAMPENI WENGI WAO WALIKUWA WANAKULA BUKU BUKU TU.SASA ZITAWATOKEA PUANI.RANGI IWAOKOE SASA.WANAOTETEA KUWA CCM ISILAUMIWE NI VCCM MASLAHI.VINAKOMBELEZA MABAKI.ACHA TU ZIPANDE HATA CHUMVI IPANDE.WALE JEURI YAO YA KIJANI.
   
 19. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,443
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Kupanga ni kuchagua kwa namna mmoja au nyingine serikali ya CCM inahusika mmoja kwa mmoja na matatizo ya Tanesco .Inateua Bodi ya wakurugenzi,inateua CEO,Tanesco ina wajibika kwa Serikali ya CCM.Tanesco ni shirika la umma hisa zake zinamilikiwa na serikali.Tunajua wazi mambo ya umeme serikali ya CCM imevurunda na kashfa sisizoisha Richmond,IPP,na Kiwira coal mine,Kuichagua au kuiweka serikali inayoongozwa na CCM kufikiri italeta maaajabu ni ngumu.
   
 20. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hivi wewe!!!!.... TANESCO siyo shirika la umma???? Mashirika ya umma humu nchini yanasimamiwa na kuratibiwa na nani??? How comes you are so dumb!!!!
   
Loading...