tatizo mishabiki ya ndomo minafiki sana na wivu vinawasumbua plus roho mbaya,nyimbo inaubaya gan ile sasa,nyimbo kali sana tena sana,acheni ushabiki maandazi.
Niaje wadau. Nahitaji msaada wenu, kwa hizo gari hapo ni ipi ambayo naweza kuitumia kibiashara na ni biashara ipi? Maana mimi nafikiria kufanya as a tax ya abiria, so maybe kuna mtu ana idea zaid ya hiyo na ni nzuri atakua amenisaidia.
Shukran.
niaje wadau,naitaji msaada wenu,kwa hizo gar hapo ni ipi ambayo naweza kuitumia kibiashara na ni biashara ipi?mana mm nafikiria kufanya as a tax ya abiria,so maybe kuna mtu ana idea zaid ya hyo na ni nzuri atakua amenisaidia,shukran.
nimetaka mawazo tu ya kumshauri na kumtia moyo mshikaj(ndug yangu) coz ni marafiki tangu nursery,km hunachakushaur piga kimya,usilete utan,mm pia naumia yaliyo mkuta ndug yang,so usilete taarabu zako kwenye issue za maana.
Niaje bandugu, dunia imekwisha sasa kuna rafiki yangu amechanganyikiwa, baada ya kugundua mrembo wake night uenda kiwanja fulani hapa Dar es Salaam kuuza, mtoto mkali sana na anapiga kazi kampuni fulani ya simu, sasa najiuliza mtoto kama huyu ukimuona huwezi amin.
Wameishi wote miaka 2 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.