Noah au Spacio

Noah au Spacio

madivi

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
14
Reaction score
6
niaje wadau,naitaji msaada wenu,kwa hizo gar hapo ni ipi ambayo naweza kuitumia kibiashara na ni biashara ipi?mana mm nafikiria kufanya as a tax ya abiria,so maybe kuna mtu ana idea zaid ya hyo na ni nzuri atakua amenisaidia,shukran.
 
Njoo uchukue noah bado mpya km 20,383 tu,no. C nyeusi...

Nicheki whatsap 0755 927881 nikutumie picha, Bei 9.5M negotiable...!!
 
Back
Top Bottom