na ww kwann uanze na zawadi... be straight bana.mara nyingi wanaume wanaofanya hivyo ni wale ambao hawawez kutongoza amini usiamini.. ukinipa nachukua ndio kwa mie nilikuambia unipe.
loooh kama mpo wengi mbona mkimwagwa mnalia? mapenz s rahis hivyo unavyofikiria ww.. kama umeumizwa pole na hayo ndo maisha ya mpito tu. ingekuwa hivyo unavyofikiria ww mbona raha sana.. kumbuka na si kila mwanamke unayemwona ukajua anakufaa.. angalia kijana utaruka mkojo waenda kukanyaga...
Mungu akupe wepes dada. . pia kuolewa ni bahati..Mungu pekee ndio kimbilio lako. . mlilie tu kilio chako atakijibu tena atakupa mume bora.. kwa Mungu kila kitu kinawezekana
hata nyie wanaume wenye tabia hizo mpo sana.... kwa wanawake ukimpenda mwanaume unajitoa kwa kila kitu.. aseme nini usimpe? hasa kabila letu lile ukipenda umependa. kuna wanaume ambaye ukiachana nae anakukumbuka kwa vingi tu tena mnooo
wanaume hawafanani... mwingine unakta na utajiri wake lakin hana mambo hayo... mwingne ndo weeee balaaa kama umeolewa ndo utajuuuta kumfahamu.. am neutral
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.