Umeonaeee
Ukipata yoyote olewa tuu try man labda umuumbe mwenyewe
Mimi ni muislamu na mwajiriwa wa serikali
nina miaka 37 na mtoto mmoja wa kiume
ninahitajimume mwislamu kuanzia miaka
38-50, ninaishi dares salaam
kwa aliyeayari tuwasiliane kwa namba
0719 470666 au 0788 598855
mi dada nakushauri usichague dini wanaume wa kiislam ni vigumu kuwapata ,i mean wapo wachache ukilinganisha na wakristo trust me
Uupsi sio kiivyo Lazima awe na vigezo more than 50% ya alivyojiwekea kwa ndoa nzuri.Mhhhhhh!!! Yoyote yule hata kama hana kigezo hata kimoja!? Si ndoa itaishia njiani hata kabla ya mwaka?
msimu Ndo huuu.. week hii moja nimekula ubwabwa wa ndoa mpaka nimechoka..!!
Ramadhan Kareem...!!!
leo nilikua na mialiko sehemu tatu tofauti za kula ubwabwa
Aise wasichana muwe waangalifu na maisha sana..
Kila la kheri dada,miaka mingine hii ulikua wapi?(Just kidding)