Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
ahh wapii mdogo wako hapa nakuchora tu daily
Nina uhakika 1000000000% hakuna ndugu yangu humu.
Mshua wangu alikuwepo humu ila alitoka mwaka jana March
ahh wapii mdogo wako hapa nakuchora tu daily
mbona mi ni ur relative
Nina uhakika 1000000000% hakuna ndugu yangu humu.
Mshua wangu alikuwepo humu ila alitoka mwaka jana March
hao ndg zako wote unaishi nao na unakagua sim/computer zao na unajua hawako jf?au ndg zako n mshua wako tu ambae una uhakika alitoka mwaka jana
shangazi,mjomba,bamdogo,mamdogo,watoto wao wote una uhakika hawako humu??
Lucky enough.
Hakuna ndugu yangu zaidi ya mimi huku. Ukoo mzima mimi peke yangu ndo nipo huku.
Nina uhakika asilimia bilioni moja.
ulimwamini yule mtu....
what she was saying was full of lies
How comes unamtongoza demu humjui? Mwanamke wa JF mkimbie vibaya sana
The thing about me is I DO WHATEVER I WANT WITH MY LIFE! All you other niggers can do is blab n ya blabin wont change anythin anyway! Knock ya selves out!Pole mkuu,kumbe sikukualika kwenye harusi yangu?
Hahahaa,eti mapenzi JF ni kama gesi ya Swala kila mtu ana hisa,hahaaaaa!Tatizo la kununua hisa kidogo hilo,nunua asilimia 100 ya hisa uone kama kuna mtu atapata tena hisa!!
Hapa tunajiandaa kula ubwabwa kwa harusi ya lara 1 na Matola then nyingine Mom Fay na Arovera hizo ndiyo habari ya mjini!!
Hahahaaaaaa! Ndio ya sio, inaweza kiwa ndio au sio kiundani!Lara 1, kama nawaona vile utashangaa kumbe utani imekua kweli