Recent content by madibira kwetu

  1. madibira kwetu

    Mbunge na diwani wako kafanya nini jimboni mpaka sasa?

    Jimboni kwangu, toka tulivyo vimbiwa pilau hatujamuona tena. Aliwahi kuonekana siku moja tu! bungeni akitetea foleni za jiji la Dar kana kwamba anaishi huko. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  2. madibira kwetu

    Weka taarifa yako toka Mkoani, wilayani,tarafa,Kata, Vijiji na Vitonoji hali ikoje huko?

    Madibira mambo ni shwari kabisa bado tumelala baada ya sherehe usiku mzima wa jana, tunapongeza kamati kuu kwa. Kumuondoa Ibirisi mfitini ZZK na wafuasi wake. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  3. madibira kwetu

    Tatizo la upungufu wa shahawa.

    Nakushauri uache uzinzi, bao 7 za nini! We ukipigwa goli hzo utajiskiaje?
  4. madibira kwetu

    Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    Mbona rais wetu anachanja mbuga nchi za nje wakati huku majanga kibao. Bila shaka nae anashindwa kuweka utaifa mbele.
  5. madibira kwetu

    Kipima joto

    Wabunge wasio elewa hali ya maisha ya wanao wawakilisha je wanastahili kuchaguliwa tena kuwa wabunge? Funguka
  6. madibira kwetu

    Naomba msaada toka kwa rais wangu mh. dr. Jakaya Mrisho Kikwete

    Humu unajisumbua tu kijana. Kama vipi nenda Ikulu ukale virungu.
  7. madibira kwetu

    WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

    Hakuna sekeseke la udini kwenye nchi hii. Ila kuna kakikundi kanatumiwa ili kuleta chokochoko za kidini. We bwana nahisi unatumia mihadarati.
  8. madibira kwetu

    N'daba

    Ndo miaminifu kwenye love kuliko totoz, totozi zipo kifeza zaidi na visumbufu kuliko mijimama. Wacha mimi niendelee kutesa na jimama langu.
  9. madibira kwetu

    Hellow!

    Karibu ila usiwe mliberali.
  10. madibira kwetu

    Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

    Kunatana na wangu, ndo mpango mzima.
  11. madibira kwetu

    Msaada Jamani kwa anayejua ....

    Kuna Saibaba, Superfeo, Ottawa Summry
  12. madibira kwetu

    Mtikila: Nitaenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu Rasimu ya Katiba

    Kwa nini wana CCM wengi wanalipinga hili jina la Tanganyika?. Hii ni dalili za mwanzo huenda katiba hyo ni mali yao. Na si watanzania wote kwa ujumla.
Back
Top Bottom