Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Kamwombe Ighondu. He will take care of you, mooothafooookr

what????????????? is this Jasusi??? Holy cow!!!! at last you decided to show your true color!! you all look a like!!
 
Last edited by a moderator:
This English is horrible! A grade 3 kid can write better English than this. Are you preparing yourself for an interview? I assure you with this kind of English you will not make it. Too bad!


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Jamani, don't we know that even the whites from london speak a very bad kiswahili..?? But we still enjoy it..?? Remember practice makes perfect...!!!.
 
Whether you crazy members of CHADEMA accept or not, the truth will always remain in your dead intellects. CHADEMA'S MPs are not worthy to be representatives. They are robbers, pretenders, and Gangsters. Should all be in Arusha? Shame on them and you
 
Grammatical errors are never regarded as poor English. Stupid analysis from a stupid man of your kind.
 
Look at you poor politicians. Instead of making arguments you are attacking the grammar. You are very sorry MICHADEMA PUMBAFU. Be critical thinkers and not rotten people. You are ever stinking like toilets.
 
Are you poor thinkers of CHADEMA still in the allegory of the cave? Not all who post here are CCM members. I am neither a CCM nor CHADEMA member. STUPID POLITICAL APPROACH.
 
You stupid Jasusi. Who is that Ighondu you are writing about? I do not know that person. Give me his contacts. I want to tell him to do you hardly Jasusi.
 
Unajua damu inapomwagika kwa dhuruma ni shurti mtu yeyote muungwana ashikwe na simanzi! Inashangaza sana mtu mzima kuendekeza siasa hata katika ishu nyeti kama hizi, kumbe bunge kuendelea bila kujali damu iliyomwagika, hata kumsherehekea sitta na kubeza kwingi kwa makada wa chama ccm ndio maturity ya kisiasa???????........mwombe sana mungu yasikukute haya..................what goes arround comes arround. Aluta continua chadema. Tulianza na mungu tutamaliza na mungu, amen!!!!!!!

chadema's mps is out of parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in politics. They are obliged to repressent us in the house but we missed our repressentatives. They have lost their values as mps.
 
Wana-JF;

Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao, huku wakizijua athari zitokanazo na mahudhurio mabovu.

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.

Hata Yesu alisema mtu hawezi kufika kwa baba bila kupitia kwangu, hata hao wabunge wasingeupata ubunge bila kupitia chadema hata kwa CCM ndo maana hata wao huwa na vikao vya waabunge wa CCM kwanza ili kuwa na msimamo mmoja
 
Afadhari umefahamu walikokuwa!
Sasa ni zamu yako kutufahamisha wabunge wa CCM huwa wanaenda wapi?!
Na sina uhakika kama uliwahi kuleta uzi unaohoji wanakokuwa wabunge wa CCM wakati wa mijadala inaendelea na viti vyao vikiwa wazi....!
Sisemi wasihudhurie ila hata kuhudhuria bila sababu ni ulimbukeni!
 
what????????????? is this Jasusi??? Holy cow!!!! at last you decided to show your true color!! you all look a like!!

Sikutarajia hayo kutoka kwa jasusi!

Kama wakongwe wa jukwaa wanatukana kama Serukamba (kiongozi wangu), hii inatoa picha gani kwa awa wageni humu jukwaani?

Jasusi yakupasa uwe mvumilivu wa kisiasa, haya ya kutukana ni kuzidi kuwapa baraka wageni wa hili jukwaa kwenye nyanja ya matusi, si uungwana.

Jasusi
 
Last edited by a moderator:
Wana-JF;

Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao, huku wakizijua athari zitokanazo na mahudhurio mabovu.

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.



Weka bandiko la kitabu cha mahudhurio ya bunge ili tujue mahudhurio ya kila mbunge kila chama (2010-2013) ndipo tutoe comment. Maana nakumbuka case ya mahudhurio bungeni ni critical.
 
unafahamu ule wimbo wa sisi M sisi M sisi M wanaupenda sana wabunge waccm mbona hilo hulizungumziii?
 
Cdm hawana uvumilivu wanataka wanauchu wakutaka madaraka haraka

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mbona rais wetu anachanja mbuga nchi za nje wakati huku majanga kibao. Bila shaka nae anashindwa kuweka utaifa mbele.
 
Nimependa namna ulivyorespond. Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe kwamba wabunge wa CDM kutohudhuria vikao vya bunge kuna athari yake! Lakini yafaa nini kuhudhuria vikao ambavyo mwisho wa yote jibu litakuwa ndiyoooooooooo whether kilichokubaliwa kwa mtindo huo hakina manufaa kwa makabwela? Jibu la ndiyooo mara nyingi hutoka kwa wabunge wa CCM ambao ni robo tatu kwa idadi bungeni. Hii maana yake ni kwamba wabunge wa CCM wanakitumikia chama na serikali yao hadi bungeni. Ni kwa mantiki hiyo huenda wabunge wa CDM wameamua kuendelea na majukumu mengine huku vikao vya bunge vikiendelea.

kama hivyo ndivyo basi sioni haja pia ya kuwa na wabunge wawakilishi wa chadema katika binge hili lenye wabunge wengi wa ccm! Kwa tafsiri ya unachosimamia ni kuwa hakuna haja ya wawakilishi wa chadema kuhudhuria vikao vya bunge hadi mwaka 2015 idadi ya wabunge hao itakapoongezeka na kuwapiku wabunge wa ccm ili kuondoa dhana ya ndiyoooo! Hivi na wewe unakiita Great Thinker??? Ama kweli nimeamini wengi wanashabikia hiki chama ni watu wasiojielewa wala kujitambua
 
Back
Top Bottom