Recent content by Madenge II

  1. M

    Mashabiki wenzangu wa Soka, huyu mwamba ni nani?

    Kumbe Mikel Arteta ni mchezaji kwa sasa na siyo kocha mkuu wa Arsenal? Nilikuwa sijui...au Mikel Arteta wapo wangapi kwenye ulimwengu wa Soka?😆
  2. M

    Acid kuzidi mwilini

    Hii elimu ya kukariri ni mbaya sana. Yaani unakuta mtu anashukaaa lakini yooote kakariri tu kama huyu. Wakati ufike kila tunaposoma lolote au chochote tujadili na mwandishi na siyo kubabe ama kukubali kila kitu alichoandika. Hivyo vyakula ulivyotaja kusababisha uric acid watu wamekula enzi na...
  3. M

    SI KWELI Ulaji wa Limao na Ndimu husababisha upungufu wa Damu Mwilini

    Sijui kama tuna wataalamu wa afya kwa karne hii. Nasema hivi kwa sababu tuna wimbi la waitwao watalaamu wa afya tena wengine maprofesa ila ni waongo kwa kiwango cha PhD. Nina wasiwasi wanalipwa ili kupotosha umma. Juzi Janabi anasema kujifungua mtoto wa kilo 4 au 5 ni hatari na mtoto yule hana...
  4. M

    Mkutano wa 3 kuenzi Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, Novemba 26, 2023 - Zanzibar

    Hakuna mwanahabari au chombo cha habari kinaweza kusema ukweli wote haswa top secrets...hakuna. Habari karibia zote hupukwa upya. John Swinton, Mhariri mkuu wa Zamani wa gazeti la New York times ambaye walimtambua Kama mkuu wa waledi yaani The Dean of his Profession...Alisema...Iwapo utakuwa...
  5. M

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Simba bado ni mbovu. Kwa bahati mbaya Viongozi wa Simba na Wachezaji hawalioni hili kabisa. Bado ni mbovu kila kona. Wakati mwingine pia ifike mahali tusiabudu Wazungu kupita kiasi...yaani Kocha lazima awe mzungu? Kama hamtaki makocha wa kibongo..nendeni mkalete Wasenegal, Wanaigeria...
  6. M

    Man City na Liverpool ngoma yaisha kwa sare ya 1-1, Guardiola na Nunes warushiana maneno

    Liverpool walikuwa walazwa kwa goli Mchezo wa jana naona Bahasha zilifanya kazi. VAR na Refa pamoja na washika vibendera walilamba bahasha....maana si kwa kuwaona vile Man City. Nahitaji team ishinde kihalali na si kuonewa. Jana wazi kabisa Refarii alikuwa kalamba bahasha. Lile goli...
  7. M

    Uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia 2023

    Report inaegemea upande wa jinsia moja tu. Duniani kuna jinsia tatu. Lakini mara nyingi riport za haki za Binadamu hutolewa zikilenga jinsia ya kike tu ilehali kuna jinsia ya kiume na jinsiatatu yaani mtu ana jinsia zote mbili. Leo kuna wimbi kubwa la kulawiti watoto wa kiume, kuna wanaume wengi...
  8. M

    Uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia 2023

    Report inaegemea upande wa jinsia moja tu. Duniani kuna jinsia tatu. Lakini mara nyingi riport za haki za Binadamu hutolewa zikilenga jinsia ya kike tu ilehali kuna jinsia ya kiume na jinsiatatu yaani mtu ana jinsia zote mbili. Leo kuna wimbi kubwa la kulawiti watoto wa kiume, kuna wanaume wengi...
  9. M

    Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

    Bilioni zaidi ya 20 analipa...Hivi kuwekwa kwenye orodha ya Bilionea ni hadi uwe unamiliki Bilioni ngapi jamani? Maana huyu mwanadada naona naye ni Bilionea.😁
  10. M

    DOKEZO Responded Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

    Jamani...jamani...Tanzania nchi yangu...hili jengo ni la zaidi ya milioni 800? Ama kweli nchi yangu Tanzania...
  11. M

    Liberia: George Weah ampongeza Mpinzani wake kwa Ushindi wa Kiti cha Urais

    Kibao tu kimebadilishwa ila nyumba na wenyeji ni wale wale. Waliberia wasifikiri wamepata Rais mpya.
  12. M

    Kwani haitoshi kutamka tu mheshimiwa Rais?

    Historia inatabia ya kujirudia. Kuna matukio hufanywa na kila mtu akiwemo Rais. Wakati ukifika wa kufanya rejea huenda kizazi kitakachokutwa kikashindwa kutambua haswa rais yupi alifanya jambo fulani. Mfano Rais ameweka jiwe la msingi kwa Hospital hii. Bila kutaji jina...watatambua ni Rais nani?
Back
Top Bottom