Ni kweli hili la Nywele za dukani limeshakuwa janga la Afrika sambamba na hiyo mikorogo mikali ya kisasa hasa kwetu sisi wanawake na Tatizo kubwa ni ulimbukeni na kuiga kumetawala, lakini pia ninyi wanaume mnachangia uwepo wa uozo huu:iweje mkeo ajiharibu uasili wake na we unampenda na uko nae...
Habari wakuu!!!
Ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Vodacom Tanzania ila najitokeza kuyatoa ya moyoni maana wamezd wizi. Kila siku mnabadili vifurushi lakini hivi vya sasa ni kukomoana jamani yaani 450 vijmb vichache eti saa 24??? Na hizo offa kandamizi acheni...
Acha uongo kijana sema ukweli usaidike, kwa tabia hiyo na hiki kizazi chetu cha pesa mbele we vibuti lazima vinakuhusu asbh, mchana, jioni na zaidi ya kumekucha, upo hapo Mkuu??
Biblia sio tamthilia wala simulizi Mkuu :Ni neno la Mungu na mwongozo wa maisha yetu ya kila siku sisi wanadamu. Rejea Yohana 1:1-5 hivo pia ni njia ya mawasiliano baina ya mkristo na Mungu wetu Marko 13:33-37 na pia tuchunge kauli zetu Mathayo 12:36-37
Ktk masuala ya imani tusikaririshane jamani kila mwenye imani yake atapokea sawa na imani yake Ufunuo 3:11 pia Ufunuo 3:19-22 iweje umpondee Mtumishi wa Mungu wakati hata Mungu anamheshimu? Tuacheni kukariri jamani imani ni zaidi ya mtaji na pia imani ina nguvu kwa yule aliyeamua kuamini
Mkuu vitabu vitakatifu vinatuasa kujiandaa wakati wowote maana hatujui siku wala saa atakayo kuja mwana wa Adamu, hivyo basi mshukuru Mungu kwa kunusurika na hiyo ajali kama huna hakika na maisha yako mazuri baada ya kifo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.