M mzee wa ngada JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 693 Reaction score 293 Aug 4, 2016 #1 Choo hiki kinageuza kinyesi na kutumia kwa ajili ya kunywa na kupikia..! To a maoni yako..
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,480 Reaction score 170,917 Aug 4, 2016 #2 Mida ya dinner hii asee
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,396 Reaction score 51,360 Aug 4, 2016 #3 wavumbuzi/gunduzi wanatumia hiyo end product inayozalisha na hicho choo? microsoft naye nilisikia anaproject ya kubadilisha kinyesi kuwa maji ya kunywa(kama sikosei) sijui huo mradi uliishia wapi
wavumbuzi/gunduzi wanatumia hiyo end product inayozalisha na hicho choo? microsoft naye nilisikia anaproject ya kubadilisha kinyesi kuwa maji ya kunywa(kama sikosei) sijui huo mradi uliishia wapi
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,266 Reaction score 25,555 Aug 4, 2016 #4 MAONI: Sawa kinafaa kinunue utumie..!
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,836 Reaction score 6,292 Aug 4, 2016 #5 Watumie wenyewe aisee.
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,793 Reaction score 6,566 Aug 4, 2016 #6 Wangevumbua cha kuifanya hiyo end product iwe juice, dah ingefaa sana!
kazana upate Member Joined Jun 8, 2016 Posts 41 Reaction score 28 Aug 4, 2016 #7 Mhh mbona haikubali kuelewana Na akili ya kawaida??
Madam Principle Member Joined Aug 3, 2016 Posts 16 Reaction score 6 Aug 4, 2016 #8 Ajabu ni kwamba utakikuta supermarket na lebo yake nzuuri bila shaka utalipa na kupewa risiti (vigezo na sera kuzingatiwa)
Ajabu ni kwamba utakikuta supermarket na lebo yake nzuuri bila shaka utalipa na kupewa risiti (vigezo na sera kuzingatiwa)