Aina mpya ya wizi Vodacom

Aina mpya ya wizi Vodacom

siku hizi ninatumia
internet-halotel
miamala-tigo
kuegesha tu-voda

hii voda siwekagi salio hata siku moja,niliachana nao muda sanaaa.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Duh, wananidai tangu mwaka jana, nilipanga niwalipe nirudi voda ila kwa mtindo huu sirudi ng'o bora nibaki tigo
 
kitu kingine kinachonikera ni ukiangalia salio la m-pesa kwenye simu yako unatozwa pesa ya kuangalia salio!
 
kitu kingine kinachonikera ni ukiangalia salio la m-pesa kwenye simu yako unatozwa pesa ya kuangalia salio!
Mbaya zaidi unaweza kuisubiria hiyo message ya salio mpaka ukome.Inachukua muda mrefu
 
Meneja masoko wa VODACOM sijui kama kweli anajua anachokifanya ,badala ya kupunguza ushindani yeye ndo kwanza anaongoza ushindani ,kwa huduma zile ziel
Kama Halote wakiboresha kidogo huduma zao huu mtandao utabaki na MPESA ,TU hapa ofsini kwetu kuanzia mkurugenzi hadi attendant wote wanatumia halotel, nyumbani hivyo hivyo
 
Nikweli kuna wizi mkubwa. Unanunua bando la MB 500 lakini data meter ya tablet yako ikisoma unetumia MB 420 tuu wao wanakuonyesha kuwa unemaliza MB 500.
Sasa wizi huu mpaka lini? Na kama ni kwa nchi nzima wanatuibia kiasi gani kwa siku,mwezi hadi mwaka?
TCRA waliangalie hili, huu ni ukibaka kana mwingine wowote
Tcra wako buzy na kutunga sheria kukabiliana na Tundu.
 
waziri Mbarawa ni kiongozi mchapakazi, naomba aingilie kati huu ubabaishaji uondoke. mteja ni mfalme lakini cha ajabu unasumbuka kwa huduma mbovu!
 
Yani mimi simu ya voda nimeachia beki 3 nyumbani yani nieifanya kama simu ya mezani ni wezi kupitiliza kama umejiunga na bando ukasaau hela bando likiisha awasemi wanalamba zote sasa hivi Halotel ndio mpango mzima
 
Mimi nipo salasala voda tigo Airtel kwenye net ata e aiwezi kupokea msg ya Whassap lkn Halotel napata h+
 
Sim card yao nashukuru 'my wife' aliikata siku ilipoingia msg ya mchepuko... Maana mimi nilikua sijapata ujasiri wa kuitupa japo vituko vyao vilifika shingoni.
 
Hahaha tangu wapunguzr bando sijarudi vodacom hadi leo na wla sina mpango ni artel net changanya na halotel kwsha yaniiiii
 
Hawa Vodacom hata sina hamu nao!!! Wanatisha kwa mbinu zao za wizi

na MARKETING MANAGER asipoangalia atabaki na MPESA tu maana hapa nybani wote kunzia bbi hadi mdogo wangu wanatumia halotel university bando kwa kwenda mbele
 
Vodacom sasa hivi ni wezi sana. Sasa hivi Halotel ndio maisha yangu katika huduma ya data. Punde nita achana nao hata kwenye Voice call. Maana nako ni wizi mtupu.
Kweli mkuu, Halotell wapo vizuri
 
Yaani hawa jamaa ni international Ziwi... Yaani hivo vifurushi ni ovyo ovyo ovyo...... Yaani... Dawa ni kuhama tu no choice... Alafu Unversity offer mtoe kama amuwezi kuitendea haki.... I hate u
 
Back
Top Bottom