Kwanini mimi ni mzito kumsaidia mpenzi wangu?

Nilishaletaga uzi kama huu yan mdau hutofautiani na mimi hata kidogo
Ukiniomba hela mpaka nije nikupe una bahati kweli aiseee kwanza lazima nikutafutie kisa ili mradi nijinunishe tu usinisumbue sumbue alaf akutafua nikiwa na genye na wakati ww naamin ulishatatua shida zako
 
Yaani nashindwa kujielewa nina tatizo gani mimi,je ni ubahili,uchoyo au umimi? Nikiwa na mwanamke huwa sipendi aniombe hela kabisa.

Hata akiwa na shida kubwa kiasi gani ambayo nahisi kabisa naweza kuitatua huwa nakuwa mzito sana kumsaidia vinginevyo hiyo shida isihusishe pesa,ila kama ni masuala ya pesa huwa nina uzito sana wa kutoa,hivi hii inachangiwa na niini wakuu?
Wewe kila siku una newz mpya,au mtunzi wa hadithi?
 
Yaani nashindwa kujielewa nina tatizo gani mimi,je ni ubahili,uchoyo au umimi? Nikiwa na mwanamke huwa sipendi aniombe hela kabisa.

Hata akiwa na shida kubwa kiasi gani ambayo nahisi kabisa naweza kuitatua huwa nakuwa mzito sana kumsaidia vinginevyo hiyo shida isihusishe pesa,ila kama ni masuala ya pesa huwa nina uzito sana wa kutoa,hivi hii inachangiwa na niini wakuu?
Sasa kama HAUNA hizo pesa,kila siku UMECHARARA utamsadia kivipi?
Hauna pesa bana sio kama hautaki kumsaidia
 
Ukikua utaacha gentleman Ni yulw anaetambua wajibu wake ukiutambua utatoa tu.
 
Inawezekana huoni uzito/ haja ya kumsaidia ....sio mbaya na pia sioni kama ni tatizo... Muda ukifika utakuwa unamsaidia
 
Yaani nashindwa kujielewa nina tatizo gani mimi,je ni ubahili,uchoyo au umimi? Nikiwa na mwanamke huwa sipendi aniombe hela kabisa.

Hata akiwa na shida kubwa kiasi gani ambayo nahisi kabisa naweza kuitatua huwa nakuwa mzito sana kumsaidia vinginevyo hiyo shida isihusishe pesa,ila kama ni masuala ya pesa huwa nina uzito sana wa kutoa,hivi hii inachangiwa na niini wakuu?
ndugu huo ni ubahili+uchoyo+ubinafsi =tabia zako
 
Bila shaka pesa unaipata kwa tabu sana bila kujali unazo nyingi au kidogo! Pesa inayopatikana kwa tabu hata kutoka kwake, huwa ni kwa tabu sana!
 
Dogo hebu nikumbushe vibuti ulivyopigwa na hao ma-ex wako wamefika wangapi kwa mtindo huo JEHH??!!
 
Acha uongo kijana sema ukweli usaidike, kwa tabia hiyo na hiki kizazi chetu cha pesa mbele we vibuti lazima vinakuhusu asbh, mchana, jioni na zaidi ya kumekucha, upo hapo Mkuu??
 
Back
Top Bottom