Recent content by madalleh

  1. madalleh

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya Utumishi wa Mahakama mnapochelewesha matokeo ya usaili mnatutesa!

    Sizan kama bado zipo hiz ,usishangae walishaita watu kwenye oral interview zamani..
  2. madalleh

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Ndo weakness kubwa ya ajira portal,,anaenufaika ni yule ambae amamaliza juzi lakin wale wa miaka ya nyuma ni ngumu kutoboa maana vitu vingi wamesahau ,mm naona tamisemi palikua panafaa zaidi maana wao ni wengi na ninajua PSRSS Hawawez kumudu usaili wa watu 250,000
  3. madalleh

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Mzee kuna viswaswadu vinabeba laini 3
  4. madalleh

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Natafuta kazi yoyote ile.Nimesoma bachelor of business administration (Accounting) nimehitimu 2018 lakin tangia nimemaliza chuo nilikua nikufundisha o -level masomo ya basic mathematics na geography kwa mda wa miaka 4,now nipo free kufanya kazi yoyote ile ikiwemo kufundisha Basic Mathematics...
  5. madalleh

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

    Very weak argument
  6. madalleh

    JamiiForums Tanzania Call for Interview ya PCCB Majanga

    Babu we Acha tu kulalamika we omba uzima tu mambo ya ajira waachie wenyewe maana ajira zote %kubwa ni za mchongo yaani mnaenda kufanya interview lakin tayari kuna watu wapo kazini wanaendelea na kazi..
  7. madalleh

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

    Hv Africa na Europe wapi walikoathrika na korona zaid???waanzie kutoa chanjo ulaya kwanza
  8. madalleh

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hakuna tishio la UVIKO-19, likiwepo tutatoa taarifa

    Okay ngoja tuone
  9. madalleh

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mm nitatoa milioni 300 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. madalleh

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Munga: Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi bali ni mali ya umma, Chadema zingatieni hilo

    Askofu kanikela sana leo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. madalleh

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea

    Naitwa costantine malando nina umri wa miaka 26 natafta kazi ya kujitolea ktk kampuni lolote hapa tanzania na nje ya nchi. Nina degree ya kwanza ktk usimamiz wa biashara ktk kitengo cha uhasibu yaan bachelor of business administration in accounts. kwa malezo zaidi tuwasiliane kupitia ...
  12. madalleh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Travel packages za kwenda Urusi kushuhudia kombe la dunia mahususi kwa Watanzania kuanzia $4000

    Tubaki bongo tu kuangalia mbao vs yanga
  13. madalleh

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Hyo ndo elimu ya bongo kuna wakufunzi wwngine wana PhD lakin anachokifundisha hata yy akijui yaan ni balaa tupu
Back
Top Bottom