Call for Interview ya PCCB Majanga

Call for Interview ya PCCB Majanga

sikuwa nina maana ya kulalamika nilikua nashangaa kuona mfumo walioutumia kuchagua waliopita thats all ila sio kesi niko kwenye ajira rasmi maana naona wengi wenu mme comment kama kwamba tunavita ...ila pia ni changamoo ...niwashukuru wale mlonipa majibu mazur ya kunifanya nielewe mbinu zao ila nyie mazuzu endeleeni na vumbi enu ndio maana hampati kaz na hata mkiitwa kwenye oral interview hamchaguliwi kwa kuwa mna kaul mbaya na hata mkijibu mnajibu vibaya...ASANTENI WANA JAMVI
farisayo 0766633753 naomba unicheki
 
Hakuna kitu kibaya kudesa interview!! Just be you!! Cha msingi make sure unajua vitu kuhusu mambo ulosomea na Pccb!! Majibu mengine yanakujaga automatically

Kudesa kupo Kwenye kila Jambo wakati ukijiandaa lazima uwe na shahuku kua kuna moja na mbili ya uwelekeo wa maswali,sasa utajiandaa Vipi hata hujui unatakiwa upitie wapi
 
Babu we Acha tu kulalamika we omba uzima tu mambo ya ajira waachie wenyewe maana ajira zote %kubwa ni za mchongo yaani mnaenda kufanya interview lakin tayari kuna watu wapo kazini wanaendelea na kazi..
 
Back
Top Bottom