Hii yote bado wanakumbuka maumivu ya kuibiwa kura 2015 kiuhalisia imekua ngumu sn kwao kusahau kwa jinsi wanavyobanwa no democracy, ajira hkn, maisha magumu kl siku nk nahc ndo maan wanazd kupambana kudai haki yao bt
Mungu akusamehe kwa maan hulijui ulitendalo hakika mawazo ya Mungu ntofauti na binadamu Mungu anapenda watoto wk wote wawe waovu au wema kwa waovu hawaadhibu kwa kua anaamin ipo ck watabadilika na kumrudia yeye na c kwamba Mungu hatupendi anatupenda sn na swala la kusema kua yupo mafichoni...
Daaa hii serkl noma hii inatokea tz dunia nzima km viongozi wenyewe wana ahadi hewa ss wanatafuta hewa nyingine ya nn??? Waache kwanza ahadi hewa afu ndo waje kushughulikia hewa nyinginezo
Usiumie we vumilia usubiri mpk 2020 utajionea mabadilko makubwa sn ambayo hutayategemea cz hali itakua ngumu sn, hela hkn, ht wale walokua na imani kidogo watakimbia so haitakiw kuongea sn tusubir 2020 upinzan ukichukua nchi ss ht mwaka hujaisha mmejionea mazuri na mabaya mengi so mpk hy minne...
Hii serkl inatumbua vipele lkn baada ya kuvitoboa huviacha tu bila kuweka dawa ya kuviua kapisa yaan kuwapeleka mahakamn na kushtakiwa km vipele tu vinatobolewa havipati dawa ya kuviua kabisa sembuse majibu makubwa ndo yataguswa kweli kwa hali hii kuna uozo mkubwa sn ili kutatua hili swala...
Tatizo cc wabongo siasa zinazid ukweli hp kifup ni bora wawe wawaz kua nw hakuna pesa watz mbona cc waelewa ila tatizo kila kitu tunajikita kutaka sifa tuonekane kwny media na siasa za chama ndo huvuruga haya yote
Uc angaike kukurupuka kutafuta mwingine wendo akaja kukutesa zaid cha msingi mngeukie Mungu wako yeye hana kigeugeu wala habadiliki badiliki km cc binadamu tulia kwake piga goti mwombe nae atakupa sahihi alokuandalia tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu
Tambua mtu mzima hawazi kusema neno ukalichukulia juu juu yy ndo anajua akisemacho cc ni km tulo nje ya gereza so walo gerezan hujua yanayoendelea ndani kwann kiba awe anaongea kl ck ???
Hacheni kumfananisha mkombozi wa bara la Afrika kwa kiasi kikubwa ktk kudai uhuru na kuweza kuondoa ukabila ht km katangulia mbele za hk na mtu ambaye ht kuweka uhusiano mzuri na wapinzn inakua shida, kutoa ajira shida, maisha magumu lkn anasema serkl inahela ila kumbk Baba wa Taifa alkua...
Kaka tusiongee kwa kuikosoa sera ya ujamaa kwa kuegemea kwenye mkabala wa kimagharibi tu hv mkuu ww sera ya ujamaa hujaona mazuri yk ona sera hii imeondoa ukabila na kuishi km ndugu unaoa utakapo na unaishi utakapo na omba nkuulize swali kwa mfano ubebari ungekufa kwny vita barid na USSR chini...
Hakika yupo Mungu pekee ambaye ni Baba wa mbinguni yy baraka zk hazina mashart wala mateso km utamwamin ila kila mtu na iman yk anayohis ndo suluhisho wa matatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.