Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,620
- 1,088
Hujielewii wewe Matatizo yote tunayo yapata wewe unaona huyo j kafanya kitu.
Unastahiri ukapimwe akili.
HAPANA WEWE NDIYO UNATAKIWA UKAPIMWE AKILI ANOYOKUAMBIA BUCCA NI KWELI KABISA
Hujielewii wewe Matatizo yote tunayo yapata wewe unaona huyo j kafanya kitu.
Unastahiri ukapimwe akili.
Na magufuri akijiunga Ukawa 2020 atakuwa sio dictator Tena atasafishwa Ah ah ah ah ah ah Siasa Bana rahaa sanaa eeh
Wewe ni mchochezi nashangaa bado upo hapa jamvini
Angewakimbiza mafisadi wote Tanzania
Mafisadi wote na wapiga dili maarufu ingekuwa ni kicheko zaidi . Sasa Mungu naye Alishaakataa kabisa na haita tokea. Na watu wote waseme aminaLowasa asingekuwa na jipya tofauti na kupongezana kwa kazi kubwa ya kuchakachua kura na kugawana wizara na mipango ya kwenda kujitambulisha nchi za nje, fisadi hana huruma, na Lowasa hakuwahi kuwa na huruma na hakuna siku atakuwa na huruma kwa watz, na ndo maana kura zake hazikutosha, ss wameanza siasa kwa kutumia kifo cha Mawazo. Watz wameshachoka na UKAWA kwa sasa, kwani wamepata Raisi bora na si bora Raisi.
Amen....Afadhali Mungu alituepusha nae hakika sala zetu zilipokelewa. Sifa na Utukufu ni kwako Baba wa Mbinguni.