Magufuli ni zaidi ya Nyerere

Magufuli ni zaidi ya Nyerere

Kipanya ametumia akili sana,inabidi tumjue huyo aliyejibu,ni nani?ni wa see see emu?au chadema?nu mmoa wa wanne au?........
 
Hacheni kumfananisha mkombozi wa bara la Afrika kwa kiasi kikubwa ktk kudai uhuru na kuweza kuondoa ukabila ht km katangulia mbele za hk na mtu ambaye ht kuweka uhusiano mzuri na wapinzn inakua shida, kutoa ajira shida, maisha magumu lkn anasema serkl inahela ila kumbk Baba wa Taifa alkua mkwel hl ilpokua mbaya alitangaz kua nw hali ni mbaya kila mtu afunge mkata kwa mdaa huu wa mpito lkn ss hali mbaya lkn hawasemi hkn dawa ni polojopolojo kl mtu na matamshi yk
 
Ni kuhusu nyufa nne yaani udini ukabila rushwa na muungano. Wote mtakumbuka kua mwlm alisema tunataka mtu ambae akisema nachukia rushwa hata tukimwangalia usoni tuone kweli huyu anachukia rushwa! Kwa hilo magu kamzidi hata nyerere.
 
naungaba nawewe brother, huyu jamaa ni kiumbe aliyedhamiria kuwatetea watanzania toka kwa mafisadi waliokuwa wameifanya Tanzanua ni nchi yao peke yao bila kujali na wengine.
Mungu azidi kumpa ujasiri na kutenda zaidi hasa kwa kujali maslaji yaliyo mapana kwa watanzania wote
 
Ni kuhusu nyufa nne yaani udini ukabila rushwa na muungano. Wote mtakumbuka kua mwlm alisema tunataka mtu ambae akisema nachukia rushwa hata tukimwangalia usoni tuone kweli huyu anachukia rushwa! Kwa hilo magu kamzidi hata nyerere.
Haaaah
Lugumi
Richmond
IPTL
Kigoda
Meremeta
Buzwagi
Kiwila
Kivuko chavu
Loading............
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mimi bila kuona waliopokea rushwa kwenye kashfa ya escrow wakifilisiwa na kufungwa bado hujani convince
 
Ni kuhusu nyufa nne yaani udini ukabila rushwa na muungano. Wote mtakumbuka kua mwlm alisema tunataka mtu ambae akisema nachukia rushwa hata tukimwangalia usoni tuone kweli huyu anachukia rushwa! Kwa hilo magu kamzidi hata nyerere.
ukivuta bangi bila chakula matokeo ni haya
 
Haaaah
Lugumi
Richmond
IPTL
Kigoda
Meremeta
Buzwagi
Kiwila
Kivuko chavu
Loading............
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hakuna atakayekujibu hapa hata mmoja
 
Subiri wenye ufisadi waje kutokwa na mapovu
Kwenye kumbukizi ya mwalimu alihutubia taifa?
Mwenge alienda kuuzima?
Alisherehekea kuchanganya udongo? Aka muungano?
Vipi azimio la Arusha!!! Analifahamu kama sio kulikumbuka!!!?

............ni kaburu tu! ( in mchongas tone)
 
Back
Top Bottom