Recent content by machage nyitika

  1. M

    Trafiki amenilazimisha kutumia fire extinguisher yangu

    Kabla ya kumwita mtu bwege jitathimishe wewe kwanza ubwege wako ukoje Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Trafiki amenilazimisha kutumia fire extinguisher yangu

    Nimesoma post za humu nimeoona humu kuna mabwege wengi sana badala kuhoji kwa nn hiyo fire imwagike yote mnalaumu kumbe jamii hii ni ya ajabu sana mijadala yake da humu ni unafiki mkubwa tatizo unapenda kuachwa mnapofanya makosa foleni na michango yenu ya unafiki kama askali amekose tuseme kuwa...
  3. M

    Tofauti kati ya truck na pick up.

    Wana jamii naombeni mnipe kwa uelewo wenu tofauti kati ya Haya magari aina ya pick up na Haya aina truck Sent from my itel it1506 using JamiiForums mobile app
  4. M

    Kwa kauli hizi naamini Zitto Kabwe ni raia wa Burundi

    Hata kama upinzani ni kupinga Lakini kuna muda na wao waone kile wanachikipinga mm najiuliza wao wanasema kuwa JPM kachukuwa Sera yao sasa kwa nn tena wanaipinga hiyo Sera yao mmh napata na mashaka na upinzani wao
  5. M

    Trafiki siyo kazi yake kukamata Bima na Vehicle, wanaingilia majukumu ya wengine una haki ya kukataa

    Unategeme nn kama u mchafu uniambie maana uchafu wako waweza leta madhara unanuka mdomo hujui unachafua hali ya hewa pindi unapoongea pole sana na punguza uchafu mdomo unanuka du aisee Huyo askali alipaswa akuadhibu ipasavyo
  6. M

    Trafiki siyo kazi yake kukamata Bima na Vehicle, wanaingilia majukumu ya wengine una haki ya kukataa

    Mm kwa uelewo wangu kama hujui jambo basi usilijengee hoja Lakini pia kwa mtu muelewa na anayejua nn Kazi au dhima malengo na madhumuni ya Polisi basi asingedanganya watu humu unaposema kuwa Trafiki hawatakiwi kukamata motor vehicle ila unasema kuwa akikumata akupeleke kwa tra sasa hapo had...
  7. M

    Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Haya ni majeshi na yameundwa kwa madhumuni Fulani Katika ulinzi nz kila jeshi lina muundo wake na lina mkubwa wake ila sasa wanapokutana kiplotoko mkubwa ni CDF anafuata IGP na GCP na wengine wanafuata Katika ulinzi wanategeana wana jeshi wanalinda nchi maeneo ya mipaka ina maana nchi kwa ujumla...
  8. M

    Baada ya simba kupewa point 3!

    Kila mtu na mapenzi yake Lakini pia kama unajua soka basi hata hizo rufaa zipo na ndo zimepelekea Serengeti boys iko Gambia basi na hao warudi tatizo kila kitu hapa tunataka kukuweka kisiasa
  9. M

    Polisi kuwaua WASHUKIWA wa mauaji ya askari, ni sahihi?

    Nafikili tufikie hatua hata kama hupendi kazi ya mtu ndo na yeye usimpende roho gani tunakuwa nazo kuna mtu mmoja anasema kuwa eti walikufa ni wachache ingekuwa kuna ndugu yako ungesema hayo maneno yaani tuwe na utu kakutendea nn hadi upende kufariki kwake da
  10. M

    Polisi kuwaua WASHUKIWA wa mauaji ya askari, ni sahihi?

    Uwe unaelewa maelezo yanayotolewa kuwa tutawakama hata huko waliko sasa sijui kama hauna kosa halafu ukakimbia so kama nawe umeua basi nawe unastahili kuuwawa maana anayeua kwa upanga naye huwawa kwa upanga hata kama hupendi hiyo idara ila elewa kuwa hao waliopoteza Maisha wana ndugu jamaa na...
  11. M

    Mdada pekee kesi ya mauaji wale wafanyabiashara madini wa Mahenge afariki

    Kwan wote wanaofariki wamefanya makosa hapa duniani? Tuitendee haki hii forum
  12. M

    Ujio wa Treni za mwendo kasi ni pigo takatifu kwa Traffics

    Kila kitu baadhi ya watanzania ni kulaumu so sioni ni Shida unafikili wasio matrafiki hawaishi au wamekufa naona mna mawazo mgando hebu kuweni na mawazo ta maendeleo
  13. M

    Dhana ya polisi kuwa wakusanya mapato

    Polisi hawakusanyi mapato wao wanaandika faini sasa wewe kama unageuza faini kuwa mapato Haya ila cha maana ni kutii sheria na takwimu inayoonesha faini imepunguza kiwango kikubwa cha ajali watu au madereva wamepunguza uwaruwaru kwa kuhofia Faini
  14. M

    Nani fundi zaidi hapa?

    Da kiukweli gaucho ni noma ila gaucho huwezi kuwalinganisha na Ronado maana hao ni washambuliaji na gaucho alikuwa kiungo ila hata hivyo jamaa ni hatari sana
  15. M

    Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

    Mm sio shabiki wa wasanii ila kwa hili dar hata mm nimeumia sana hata kama mtu ana makosa ni yake kwenda kumuona ni jbo jingine ila tusiingilie sana maana naweza kuta tayari walishagombana si mnajua Maisha ya wasanii wetu
Back
Top Bottom