wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,596
- 29,525
Namkaribisha sanaPaka umekuja huku ushaondoka eneo la tukio utamfanyaje tena mkuu jazia nenda pale lugalo n kajisent kadogo tu
Namkaribisha sanaPaka umekuja huku ushaondoka eneo la tukio utamfanyaje tena mkuu jazia nenda pale lugalo n kajisent kadogo tu
Kuna trafic rafiki yangu aliwahi kuniambia hata gari litoke leo bandarini uliweke vitu vyote vinavyotakiwa na liingie road akisimamisha lazma apate kosa tuu yaani haijawahi kukamwata dereva akakoswa na kosaKinachotuletea matatizo mengi barabarani ni hawa walinzi wa sheria kuamini kuwa gari inaendeshwa ka mikono, miguu na hayo masheria yao lakini wakasahau kuwa gari inaendeshwa na akili!
Sidhani kama sheria iliwahi kufanikiwa popote duniani kwa kuwalazimisha watu kuifuata bali kwa kueleweshana.
Hata mimi ilishanitokea hiyo, anakwambia uitest kama inafanya kazi, baada ya hapo unalazimika.kwenda kununua nyingine, huu ni ujingaNimfanyaje huyu askari trafik nimetoka nyumbani salama mida hii ya asubuhi nimetembea kama nusu kilometa hivi nikapigwa mkono na trafik nikapaki pembeni akaniambia anataka kukagua gari akagua lote akakuta sawa mara akaniambia lete fire extinguisher nikampa akaniambia jaribu nikamwambia ukipres itatoka yote akawa mbishi si akapres kwa nguvu ikatoka yote mpaka ikaisha sasa ni mfanyaje huyu anavyo onekana hajui kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, kuchagua Unyonge nao ni uamuzi.Huo sio ushauri mzuri maana hapo kesi itamgeukia
Nadhani alihisi nimekunywa za kienyeji ! Alafu wewewe umenidanganya kidude cha kupima pombe siku hizi kinapima harufu ya mahindi?