Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Hawa majamaa walizidi kunyanyasa wasafiri. Unaweza kukuta dereva alikuwa na mwendo wa 54 palipoandikwa 50 basi atapigwa fine. Wakati ni busara ndogo tu ya kumpa onyo.
Sasa treni mpya itakayopiga masaa 7 kutoka Dar~Mwanza ujenzi wake umezinduliwa leo. Sasa sijui hizo rushwa mtapata wapi, manake kila mtu atapenda kusafiri kwa treni, kwanza itakuwa cheap, pili hakuna usumbufu wa kukamatwa, na tatu unafika kwa wakati..
Dar~Moro ni saa 1:30
Mytake:. Hizi ndio gharama za maendeleo. Traffic mtafute njia mbadala ya kujikimu sasa. Baada ya miezi 20 mtakuwa na maisha magumu zaidi.