Recent content by MacDking

  1. MacDking

    Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

    Wapo mpk Tegeta, ila sijajua installation service yao, wako vizuri na wanatumia miundo mbinu ya TTCL . Naona watu wanawasifia,
  2. MacDking

    Wanawake hawanipendi

    Sikiliza hii kisha tafakari .
  3. MacDking

    Wanawake hawanipendi

    Haihusiani na hiyo, ila kuna kitu kikubwa hapo, ndio maana nasisitiza fuatilia hili, kiundani, kuna vitu vingi sana nilitaka kufafanua ila tatizo muda , nikipata muda nitafafanua na kutoa visa halisi ila itapendeza na wewe ukipata jibu sahihi la.kuulizia huko nilipokushauri. Ila na sisitiza...
  4. MacDking

    Wanawake hawanipendi

    Hiyo nenda kaulize kwa Babu au Bibi mzaa ( Baba au Mama), tumia trick yoyote unayoweza, kisha utaleta jibu Ila usiogope kusikia kusikia tatizo lolote alilolifanya ....linakuandama wewe.na mwisho kama ni swala huko nyuma walifanya maagano na mizimu, fanya mpango mapema kujinasua, hutanielewa kwa...
  5. MacDking

    Kwanini wimbi la wadada wasomi kukosa wanaume wa kuwaoa linaongezeka?

    Kwa sababu pesa ipo. Anahitaji kwa vigezo vyake tu, afuati tabia, anajua tabia atambadilisha kwa sababu pesa ipo amesoma
  6. MacDking

    SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Usemayo ni kweli kwa hapa africa hatujui soko lake, tatizo wanawauzia mbegu chotara, ingia Amazon.com utaona dawa za magojwa ya binaadamu zinazotengenezwa kwa pilipili kichaa zioe ndogo za asili, utakumbuka hata Corona waliweka kiasi fulani pilipili kichaa.
  7. MacDking

    SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Hizi pilipili kichaa ni dawa , kwanza inatumia kwa natatizo ya mapagu, pia ni dawa kwa magonjwa ya figo, pia ni dawa kwa ajili ya magonjwa ya moyo. Zingatia ni pilipili kichaa (ile ndogo ya asili tu) sio ile chotala na pia sio pilipili za mwendoka kasi na sio pilipili mbuzi. Pia ni nzuri kwa...
  8. MacDking

    Ushauri: Anakataa kukata ziwa baada ya dozi za chemo

    Watu wa namna hiyo hawapendeli dawa chungu, ingawaje ndio zinazoponyesha, na ndio maana wanaopona ni wachache. .mtu ataonja kidogo atatema, na inaishia hapo.
  9. MacDking

    Je, Saratani ya damu (multiple myeloma) inaweza kupona?

    Mgonjwa anapona vizuri tu ina kwa tiba asili ((Herbs) Tuanze na ufafanuzi Aina ya virusi vinavyoambukiza seli T (aina ya seli nyeupe za damu) na vinaweza kusababisha leukemia na lymphoma. Virusi vya leukemia ya aina ya T-cell ya binadamu huenezwa kwa kuchangia sindano au sindano, kwa kutiwa damu...
  10. MacDking

    SoC02 Kuongezeka kwa saratani ya matiti kutokana na mambo ya mazingira na mtindo wa maisha

    Wagonjwa huwa na upungufu wa vitamin D (ubize wwnawahi kazini alfajili na wanarudi usiku hawapati muda wa kupata jua kidogo) vitamin A kiwango kidogo kwenye miili yao, pia kanss au saratani ya matiti husababishwa na virus aina EBV , ndio maana ukitumia dawa ya asili (Herbs) unapona vizuri...
  11. MacDking

    Kuna uwezekano wa msaada matibabu ya kansa ya kichwa?

    Ni kweli hata mimi nafahamu Madaktari wengi tu (Medical Doctor) walio pona saratani kwa tiba asili, kuanzia Kenya, .......na hapa kwetu. Na ninajua pia dawa kadhaa walizotumia nilisimuliwa na baadhi yao, ila tatizo wengi wametawaliliwa na fikra kuwa tiba asili ni utapeli, kumbe hawajapata dawa...
  12. MacDking

    Msaada TTCL Copper Internet

    Installation ni bure unanunua modem tu. Speed ipo vizuri sio chini ya 12 mb/sec,
  13. MacDking

    Kwa nini Kanda ya Ziwa ina Kiwango kikubwa cha Ugonjwa wa Cancer kuliko Maeneo mengine?

    KANSA Sababu: Ingawa kansa katika baadhi ya sehemu za mwili ni kuongezeka kwa kasi ya kutisha, katika maeneo mengine, kama vile tumbo na uterasi, matukio ya saratani yanapungua. Aina fulani zinaweza kuzuiwa kwa kiwango kikubwa, na ni hivyo .Inakadiriwa kuwa zaidi ya nusu ya saratani zote...
  14. MacDking

    Kuna uwezekano wa msaada matibabu ya kansa ya kichwa?

    KIka sehemu wapo matapeli usipotoshe ukasababisha muhusika kashinwa hata kufuata ushauri nasahaq angala wa vyakula ikamsaidia mgonjwa huyo akapanoa kama mtot wq Raila odinga alivyopona. Hata wazungua aoa pia baadhi yao huwa wanatumia tiba mbadala (herbs) na wanapona kansa, ila wengi wasioopona...
Back
Top Bottom