Ushauri: Anakataa kukata ziwa baada ya dozi za chemo

Ushauri: Anakataa kukata ziwa baada ya dozi za chemo

Raha ya nyonyo ukiyadindisha yadinde yote mawili sasa likibaki moja itakuwaje
miaka 27 bado anahitaji muonekano mtaani,mkateni kilazima mtampoteza.
 
Mkuu kama ataweza hamna haja ya kukata ziwa lake atafute miziz ya maua flani hivi yanakuwa yanatoa maua ya rangi tofautitfauti kna meupe,pink,mekundu nk mashuleni mara nyingi yapo na ktk bustan hizi akichemsha yale kwa wki kama tatu ....4 anywe ktwa mara 3 af akacheki tena hospital

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Picha mkuu

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Nakupa dawa ya kansa mm nimeshatibia watu 2 wakapona. Atumie kila siku chai ya majani yaliyotengenezwa kwa majani mabichi ya stafeli, pia kila mlo ale akisindikiza juice ya stafeli. Hii chai anywe 3 times a day yaan asubuhi mchana na jion nusu saa kabla ya mlo. Katika milo yake asipendelee kula vyakula vilivyopikwa. Ale vibichi vikipikwa vipikwe kidogo sana hasa vyakula vya rangi ya kijani kama mchicha tango na kadhalika. Ale hii mda mrefu hata mwaka
 
Mkuu kama ataweza hamna haja ya kukata ziwa lake atafute miziz ya maua flani hivi yanakuwa yanatoa maua ya rangi tofautitfauti kna meupe,pink,mekundu nk mashuleni mara nyingi yapo na ktk bustan hizi akichemsha yale kwa wki kama tatu ....4 anywe ktwa mara 3 af akacheki tena hospital

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Watu wa namna hiyo hawapendeli dawa chungu, ingawaje ndio zinazoponyesha, na ndio maana wanaopona ni wachache. .mtu ataonja kidogo atatema, na inaishia hapo.
 
Habari wanajukwaa?

Mke wangu mwenye umri wa miaka 26 aligundulika ana saratani ya matiti akaanza kupatiwa dozi za chemotherapy, amepata mizunguko 8 na hatimaye uvimbe uliokuwepo kwenye ziwa umepotea kabisa.

Tangu anavyoanza tiba ya chemo madaktari walisema mwisho itabidi kuondoa ziwa kabisa ili kutoruhusu vimelea kujirudia tena. Ila mgonjwa hataki kuondoa ziwa.

Je hii inaweza kuja kuwa na hatari kiasi gani hapo mbeleni?
BORA wewe umewahi kuligundua hilo mpaka leo nawalaumu sana hospitali flani kubwa hapa nchini kwa kunificha au kutkua makini , wife aligundulika too late akiwa na shida kama hio tena akiwa mjamzito na tulishindwa okoa maisha yake akiwa hapo SEWAHAJI akisubiri kukatwa ziwa .Nilimpoteza yeye akiwa na mwanangu njiti .
KANSA SIO MALARIA BROO FORCE KUFUATA USHAURI WA DAKTARI SIO WA MGONJWA LEO KIDONDA CHA MAUMIVU UMEKIGUSA BAADA YA KUONA POST HII NA MTOTO WA WIFE NILIEMKUTA KAJA JOBU KUNIJULIA HALI MAISHA HAYAJAWAHI KUA SAWA IMENIUMA SANA DUU
 
Back
Top Bottom