Kuna uwezekano wa msaada matibabu ya kansa ya kichwa?

Waganga wa kienyeji ama watu wa tiba asili ni wapigaji.. wao wanawaza kupata hela kupitia shida zako.

Matibabu dunia nzima za ugonjwa wowote yanafata standard treatment procedures za huo ugonjwa. Na wakikosea kuna sheria ya kuwawajibisha. Je watu wa tiba asili ama waganga wa kienyeji wakikutapeli utalalamikia wapi?

Kansa isumbue wazungu huko halafu mpuuzi akudanganye ana dawa shida ni chakula tu.

Profesa maji marefu mganga mashuhuri tanga. Yeye mwenyewe alipoumwa alienda kutibiwa muhimbili hospitalini na apollo india mpaka akafariki.

Jiulize Why hakwenda kwa waganga wenzake

Ustadhi na mganga maarufu sheikh shariffu majini.. yeye mwenyewe alilalamika kuibiwa kura kwenye uchaguzi wa wajumbe wa ccm. Why uganga wake ama majini yake yasimlindie kura zake.

Watu wa tiba asili ni matapeli tu
Wasiwasi wako ni Kutapeliwa hela/ Kupigwa ?

Au wasiwasi wako ni kuto kupata tiba/Kupona?

Je kama Ukitibiwa bila kuchajiwa hata Mia na ukafanya Malipo baada ya kupona?

Anyways jipe muda kujifunza Mambo mapya mkuu Dunia inabadilika hivyo usikariri bali uwe tayari kujifunza kila kukicha.

Yapo Mambo mengi sana tumedanganywa/Tumefungwa akili na wazungu Wake up mkuu.

By the way Ninachomaanisha hapa ni Tiba Lishe / Tiba asili ya Miti shamba na Vyakula vya Asili visivyoleta Sumu mwilini na siyo Kupiga Ramli kwa Waganga kama ulivyodai.
 
Check wataalamu wa tiba za mimea ingia google andika kansa utapata msaada, usiache kujaribu tiba, maarifa tunatofautiana
 
Waganga wa kienyeji ama watu wa tiba asili ni wapigaji.. wao wanawaza kupata hela kupitia shida zako.

Matibabu dunia nzima za ugonjwa wowote yanafata standard treatment procedures za huo ugonjwa. Na wakikosea kuna sheria ya kuwawajibisha. Je watu wa tiba asili ama waganga wa kienyeji wakikutapeli utalalamikia wapi?

Kansa isumbue wazungu huko halafu mpuuzi akudanganye ana dawa shida ni chakula tu.

Profesa maji marefu mganga mashuhuri tanga. Yeye mwenyewe alipoumwa alienda kutibiwa muhimbili hospitalini na apollo india mpaka akafariki.

Jiulize Why hakwenda kwa waganga wenzake

Ustadhi na mganga maarufu sheikh shariffu majini.. yeye mwenyewe alilalamika kuibiwa kura kwenye uchaguzi wa wajumbe wa ccm. Why uganga wake ama majini yake yasimlindie kura zake.

Watu wa tiba asili ni matapeli tu
Who is mzungu,Mzungu ni mzuri kwenye tiba za darasani ni sifuri kwenye tiba za mimea na miti.
Pana magonjwa ya kibaiologia na ya kiroho pia ya kiroho hayatibiki hospital
 
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,

Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa, kutapika kila akila chakula, kukosa balansi ya mwili na usikivu hafifu

Hadi sasa nimekwisha tumia zaidi ya sh milioni 6 kwa ct scan, mri, na operation ndogo ya kupinguza maji kwenye ubongo.

Nimeletewa bili kabla ya matibabu ya upasuaji wa kuondoa uvimbe na recovery zake naona gharama imekua kubwa sana inakimbilia kwenye milioni 20+.

Nimefika mwisho wa kujitutumia na familia yangu nikaona nije jukwaani kuuliza kama kuna namna yoyote naweza kupambana serikalini au taasisis yoyote ile nikapata msaada.

Natanguliza shukrani
Pole sana kwa kuuguza bro.....usichoke katika kumtibia na kumfanyia maombi muda wote.................Mungu akufanyie wepesi
 
Pole sana Ndugu yangu kwa Changamoto. Mungu atafanya njia
 
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,

Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa, kutapika kila akila chakula, kukosa balansi ya mwili na usikivu hafifu

Hadi sasa nimekwisha tumia zaidi ya sh milioni 6 kwa ct scan, mri, na operation ndogo ya kupinguza maji kwenye ubongo.

Nimeletewa bili kabla ya matibabu ya upasuaji wa kuondoa uvimbe na recovery zake naona gharama imekua kubwa sana inakimbilia kwenye milioni 20+.

Nimefika mwisho wa kujitutumia na familia yangu nikaona nije jukwaani kuuliza kama kuna namna yoyote naweza kupambana serikalini au taasisis yoyote ile nikapata msaada.

Natanguliza shukrani
Nakupa ushauri huu, wengi watadharau na kuubeza hapa, ila baadaye utaukumbuka baadaya kufanya research wewe mwenyewe, nafafanua kwanza kansa huwa inatokana na virus mfano HPV, EBV na aina nyinginezo ambazo sijazitaja hapa, na virus hawa huwa wanasababisha uvimbe, kwa watu amabo kinga zao huwa ziko chini, na ujiangalia kwa makini ndio maana matibabu ya .... hhrunia mionzi kuchoma sehemu , au chemo, ili kuua swhemu zilizoathirika sana ili kuzuia virus au kansa kusambaa au kuhamia eneo lingine. Lakini ukiangalia vitu vya asili kama ilivyo elezewa kwwnye kitabu cha back to eden, utaona wanatumia dawa za kisafisha damu (kuua bacteria & virus), dawa za kuondoa uvimbe , kuongeza damu, na dawa hizi huwa ni za kutunia muda mrefu mpaka miezi 6 au 8 kulingana na stage mgonjwa aliyofikia, pia inategememea na masharti ya chakula mfano mgonjwa hatakiwi kutumia vyakula jamii ya nyama na product zake, vyakula vy wanga apunguze kabisa, sukari aache kabisa.
Na hapo ndio pona yake, nina uhakika na hii kitu na nina list ya madaktari walio tumia hii kitu wakapona ila kuna kanuni hairuhusu kuenda nje na protocol waliyofundishwa darasani. Naomba niishie hapo. Najua nitatukanwa na wakimaliza kwa ushauri wao kinajulikana nini kitafuata. Ila mgonjwa wako akikubali kufuata ushauri huo wa kitabu cha back to eden sina mjadala mgonjwa wako atapona, nina ihakika 100%. Awe mwaminifu, hanidanganyi mimi kama akisena anafuata masharti huku ukitoka anakuala kila kitu.nina shuhuda za watu wengi waliopona.
 
Pole sana mkuu, maombi yetu mkeo na familia
 
Waganga wa kienyeji ama watu wa tiba asili ni wapigaji.. wao wanawaza kupata hela kupitia shida zako.

Matibabu dunia nzima za ugonjwa wowote yanafata standard treatment procedures za huo ugonjwa. Na wakikosea kuna sheria ya kuwawajibisha. Je watu wa tiba asili ama waganga wa kienyeji wakikutapeli utalalamikia wapi?

Kansa isumbue wazungu huko halafu mpuuzi akudanganye ana dawa shida ni chakula tu.

Profesa maji marefu mganga mashuhuri tanga. Yeye mwenyewe alipoumwa alienda kutibiwa muhimbili hospitalini na apollo india mpaka akafariki.

Jiulize Why hakwenda kwa waganga wenzake

Ustadhi na mganga maarufu sheikh shariffu majini.. yeye mwenyewe alilalamika kuibiwa kura kwenye uchaguzi wa wajumbe wa ccm. Why uganga wake ama majini yake yasimlindie kura zake.

Watu wa tiba asili ni matapeli tu
KIka sehemu wapo matapeli usipotoshe ukasababisha muhusika kashinwa hata kufuata ushauri nasahaq angala wa vyakula ikamsaidia mgonjwa huyo akapanoa kama mtot wq Raila odinga alivyopona.
Hata wazungua aoa pia baadhi yao huwa wanatumia tiba mbadala (herbs) na wanapona kansa, ila wengi wasioopona ni wale wanaoendekezq ulaji wa vyakula visivyotakiwa kula kwenye matibabu yao mfano keki, chips, nyama, maziwa, na vyakula kadhqa vya wanga,
Mimi kama mimi kuna ndugu zangu waliokuwa na kansa wengine walikufa kwa kutofuata masharti na wengine walipona, na nilifuatilia mtihani upo kwwnye vyakula, na ni sawa na mtihani wa shuleni ukifanya vizuri unatunukiwa cheti, na kansa hivyo hivyo ukifuata masharti vizuri unapona, uli,ia wagonjwa wote waliopona kansa walikula chakula gani, na wewe ule chakula hichohocho walichokula na sio kula chakula, juisi hiyo hiyo aliyotumia na wewe utapona, soma zaidi vitabu vya Master book of american natural remedies, back to eden, ministry of healing, achana na mambo ya uchawi, majini au ya kikombe kimoja cha babu wa loliondo, dawq za tiba mbadala huwa zinqchukua sio chini ya miezi minne na kuendelea mpaka 8 kwa kansa, mfano halisi ni mtoto wa raila odinga wa kenya alikuwa na uvimbe kwwnye ubongo kichwani.
 
Sorry kwa kuchelewa kuupitia huu uzi ila mimi nina mdogo’angu kapona kansa.
Kuna mzee 1 alikuwa Nairobi ila kwa sasa yupo Uganda kampala kule kapewa license na mamlaka ya utabibu ana hospital yake atamtibu kama bado mgonjwa yupo wacha niisake number’ake
 
Nakupa ushauri huu, wengi watadharau na kuubeza hapa, ila baadaye utaukumbuka baadaya kufanya research wewe mwenyewe, nafafanua kwanza kansa huwa inatokana na virus mfano HPV, EBV na aina nyinginezo ambazo sijazitaja hapa, na virus hawa huwa wanasababisha uvimbe, kwa watu amabo kinga zao huwa ziko chini, na ujiangalia kwa makini ndio maana matibabu ya .... hhrunia mionzi kuchoma sehemu , au chemo, ili kuua swhemu zilizoathirika sana ili kuzuia virus au kansa kusambaa au kuhamia eneo lingine. Lakini ukiangalia vitu vya asili kama ilivyo elezewa kwwnye kitabu cha back to eden, utaona wanatumia dawa za kisafisha damu (kuua bacteria & virus), dawa za kuondoa uvimbe , kuongeza damu, na dawa hizi huwa ni za kutunia muda mrefu mpaka miezi 6 au 8 kulingana na stage mgonjwa aliyofikia, pia inategememea na masharti ya chakula mfano mgonjwa hatakiwi kutumia vyakula jamii ya nyama na product zake, vyakula vy wanga apunguze kabisa, sukari aache kabisa.
Na hapo ndio pona yake, nina uhakika na hii kitu na nina list ya madaktari walio tumia hii kitu wakapona ila kuna kanuni hairuhusu kuenda nje na protocol waliyofundishwa darasani. Naomba niishie hapo. Najua nitatukanwa na wakimaliza kwa ushauri wao kinajulikana nini kitafuata. Ila mgonjwa wako akikubali kufuata ushauri huo wa kitabu cha back to eden sina mjadala mgonjwa wako atapona, nina ihakika 100%. Awe mwaminifu, hanidanganyi mimi kama akisena anafuata masharti huku ukitoka anakuala kila kitu.nina shuhuda za watu wengi waliopona.
Mtoa mada afuate huu ushauri. Lishe ndio kila kitu jamani. Umenena vyema sana.
 
Kwanza nikupongeze kwa Ushauri Murua Na pia nikutoe wasi wasi wa kubezwa na kudharauliwa kwani kwenye dunia ya leo ni rahisi sana kuwapumbaza watu kuliko kuwafafanulia/kuwaelimisha namna walivyopumbazwa ( Now days it is so easy to fool someone than convince them meaning). Mtanisamehe kama nimetumia maneno makali.

Tukirudi kwenye Maada, Ugonjwa wa Cancer unatokana na kuharibika kwa Cell za mwili baada ya kuharibiwa /Kumomonyolewa (Eroded) na Acid inayotokana na vyakula ulivyotaja hapo juu (Nyama, Maziwa,Wanga, Processed foods and beverages).

Cell hizi zinapozidi kumomonyoka zinakosa nguvu ya kupambana na magonjwa na pia kuupa mwili nguvu( Kinga ya mwili inashuka) Na ndipo unapoambiwa una Cancer.

Chemotherapy ni zoezi la kuchoma Cell zilizoathiriwa na Acid kwa Wagonjwa wa Cancer.

Kama Cell zimeharibiwa na acid Swali la kujiuliza hapa ni je ni sahihi kuzichoma hizo cell zilizoharibika? Je hiyo ndiyo njia sahihi ya kurudisha kinga iliyoharibiwa kwa kiwango kikubwa na Acidi? JIBU NI HAPANA.

Njia sahihi ni kupandisha kinga ya mwili kwa kuepuka vyakula vyenye acid na kutumia vyakula vyenye Alkaline kwa wingi(Mboga za majani, Maboga, papai, Matango, Maji mengi ya Chemchem, Matunda yenye mbegu, Kunde...)

Hakuna Virusi/Bacteria wanaosababisha Cancer bali ulaji mbovu ndiyo chanzo cha magonjwa yoooote!!
 
Waganga wa kienyeji ama watu wa tiba asili ni wapigaji.. wao wanawaza kupata hela kupitia shida zako.

Matibabu dunia nzima za ugonjwa wowote yanafata standard treatment procedures za huo ugonjwa. Na wakikosea kuna sheria ya kuwawajibisha. Je watu wa tiba asili ama waganga wa kienyeji wakikutapeli utalalamikia wapi?

Kansa isumbue wazungu huko halafu mpuuzi akudanganye ana dawa shida ni chakula tu.

Profesa maji marefu mganga mashuhuri tanga. Yeye mwenyewe alipoumwa alienda kutibiwa muhimbili hospitalini na apollo india mpaka akafariki.

Jiulize Why hakwenda kwa waganga wenzake

Ustadhi na mganga maarufu sheikh shariffu majini.. yeye mwenyewe alilalamika kuibiwa kura kwenye uchaguzi wa wajumbe wa ccm. Why uganga wake ama majini yake yasimlindie kura zake.

Watu wa tiba asili ni matapeli tu
Iwekwe sticky kule juu ..huu ni ukweli mtupu
 
Wasiwasi wako ni Kutapeliwa hela/ Kupigwa ?

Au wasiwasi wako ni kuto kupata tiba/Kupona?

Je kama Ukitibiwa bila kuchajiwa hata Mia na ukafanya Malipo baada ya kupona?

Anyways jipe muda kujifunza Mambo mapya mkuu Dunia inabadilika hivyo usikariri bali uwe tayari kujifunza kila kukicha.

Yapo Mambo mengi sana tumedanganywa/Tumefungwa akili na wazungu Wake up mkuu.

By the way Ninachomaanisha hapa ni Tiba Lishe / Tiba asili ya Miti shamba na Vyakula vya Asili visivyoleta Sumu mwilini na siyo Kupiga Ramli kwa Waganga kama ulivyodai.
Mkuu kitabu cha turejee eden nakifahamu lakini kumbuka huyu kasema kansa inakua kwa kasi kubwa sana...in such mle hakuna tiba ..kuna vyakula tu mbadala tusidanganyane ..au la huijui kansa
 
Nakupa ushauri huu, wengi watadharau na kuubeza hapa, ila baadaye utaukumbuka baadaya kufanya research wewe mwenyewe, nafafanua kwanza kansa huwa inatokana na virus mfano HPV, EBV na aina nyinginezo ambazo sijazitaja hapa, na virus hawa huwa wanasababisha uvimbe, kwa watu amabo kinga zao huwa ziko chini, na ujiangalia kwa makini ndio maana matibabu ya .... hhrunia mionzi kuchoma sehemu , au chemo, ili kuua swhemu zilizoathirika sana ili kuzuia virus au kansa kusambaa au kuhamia eneo lingine. Lakini ukiangalia vitu vya asili kama ilivyo elezewa kwwnye kitabu cha back to eden, utaona wanatumia dawa za kisafisha damu (kuua bacteria & virus), dawa za kuondoa uvimbe , kuongeza damu, na dawa hizi huwa ni za kutunia muda mrefu mpaka miezi 6 au 8 kulingana na stage mgonjwa aliyofikia, pia inategememea na masharti ya chakula mfano mgonjwa hatakiwi kutumia vyakula jamii ya nyama na product zake, vyakula vy wanga apunguze kabisa, sukari aache kabisa.
Na hapo ndio pona yake, nina uhakika na hii kitu na nina list ya madaktari walio tumia hii kitu wakapona ila kuna kanuni hairuhusu kuenda nje na protocol waliyofundishwa darasani. Naomba niishie hapo. Najua nitatukanwa na wakimaliza kwa ushauri wao kinajulikana nini kitafuata. Ila mgonjwa wako akikubali kufuata ushauri huo wa kitabu cha back to eden sina mjadala mgonjwa wako atapona, nina ihakika 100%. Awe mwaminifu, hanidanganyi mimi kama akisena anafuata masharti huku ukitoka anakuala kila kitu.nina shuhuda za watu wengi waliopona.
Awe vegetarian tu
 
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,

Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa, kutapika kila akila chakula, kukosa balansi ya mwili na usikivu hafifu

Hadi sasa nimekwisha tumia zaidi ya sh milioni 6 kwa ct scan, mri, na operation ndogo ya kupinguza maji kwenye ubongo.

Nimeletewa bili kabla ya matibabu ya upasuaji wa kuondoa uvimbe na recovery zake naona gharama imekua kubwa sana inakimbilia kwenye milioni 20+.

Nimefika mwisho wa kujitutumia na familia yangu nikaona nije jukwaani kuuliza kama kuna namna yoyote naweza kupambana serikalini au taasisis yoyote ile nikapata msaada.

Natanguliza shukrani
Pole sana. The Best Treatment kwa sasa Duniani ni Gamma Knife - ni Technology ya kutibu kansa bila kumpasua Mgonjwa na ipo Very accurate. Hapa Africa kuna Hospital ipo South Africa lakini pia India.
Last week nilikuwa naongea na hawa wazalishaji wa hizi systems, ameniambia wapo Kenya wiki hizi 3 zijazo sijajua kama Kenya nao wanafungiwa au wapo mbioni kufungiwa! Nipo Najaribu kuongea nao waje wafunge hapa Tanzania ila bado cjapata pa kuanzia. Nicheck kama utahitaji msaada zaidi ili niongee nao wasaiidie kupropose cheap hospital maana pia wapo Uturuki
 
Attachments

  • D51A8580-A5E0-43F2-89DF-68E5E3981B20.jpeg
    D51A8580-A5E0-43F2-89DF-68E5E3981B20.jpeg
    29.4 KB · Views: 28
  • A3D3F606-E904-4774-A249-C27E3B10F8FD.jpeg
    A3D3F606-E904-4774-A249-C27E3B10F8FD.jpeg
    6.9 KB · Views: 33
  • 2C81CB74-768F-4FD3-82AE-F04E74C88E04.png
    2C81CB74-768F-4FD3-82AE-F04E74C88E04.png
    26.7 KB · Views: 30
Back
Top Bottom