Kuna uwezekano wa msaada matibabu ya kansa ya kichwa?

Kuna uwezekano wa msaada matibabu ya kansa ya kichwa?

KIka sehemu wapo matapeli usipotoshe ukasababisha muhusika kashinwa hata kufuata ushauri nasahaq angala wa vyakula ikamsaidia mgonjwa huyo akapanoa kama mtot wq Raila odinga alivyopona.
Hata wazungua aoa pia baadhi yao huwa wanatumia tiba mbadala (herbs) na wanapona kansa, ila wengi wasioopona ni wale wanaoendekezq ulaji wa vyakula visivyotakiwa kula kwenye matibabu yao mfano keki, chips, nyama, maziwa, na vyakula kadhqa vya wanga,
Mimi kama mimi kuna ndugu zangu waliokuwa na kansa wengine walikufa kwa kutofuata masharti na wengine walipona, na nilifuatilia mtihani upo kwwnye vyakula, na ni sawa na mtihani wa shuleni ukifanya vizuri unatunukiwa cheti, na kansa hivyo hivyo ukifuata masharti vizuri unapona, uli,ia wagonjwa wote waliopona kansa walikula chakula gani, na wewe ule chakula hichohocho walichokula na sio kula chakula, juisi hiyo hiyo aliyotumia na wewe utapona, soma zaidi vitabu vya Master book of american natural remedies, back to eden, ministry of healing, achana na mambo ya uchawi, majini au ya kikombe kimoja cha babu wa loliondo, dawq za tiba mbadala huwa zinqchukua sio chini ya miezi minne na kuendelea mpaka 8 kwa kansa, mfano halisi ni mtoto wa raila odinga wa kenya alikuwa na uvimbe kwwnye ubongo kichwani.
Kuna rafiki yangu dada yake alikua na kansa ya kizazi walimtibia mpaka akapona,na zilitumika dawa za kienyeji tuu
 
Sorry kwa kuchelewa kuupitia huu uzi ila mimi nina mdogo’angu kapona kansa.
Kuna mzee 1 alikuwa Nairobi ila kwa sasa yupo Uganda kampala kule kapewa license na mamlaka ya utabibu ana hospital yake atamtibu kama bado mgonjwa yupo wacha niisake number’ake
Ukiipata hio no usisite kushare hapa jukwaan ili watu wapate msaada
 
Kansa hazitibiki kwa tiba za hospital. Check mabingwa wa tiba za mimea ikiwemo wale wa tiba za kisunna.
Hakuna ugonjwa wowote usiotibika isipokuwa kifo na uzee pekee yake
 
Pole.
Naomba Mungu Mwenyeenzi amponye haraka.

Tafuta mizizi ya mastafeli umchemshie, weka tu kwenye thermos kama chai ukienda hosp umpe anywe
 
Kuna rafiki yangu dada yake alikua na kansa ya kizazi walimtibia mpaka akapona,na zilitumika dawa za kienyeji tuu
Ni kweli hata mimi nafahamu Madaktari wengi tu (Medical Doctor) walio pona saratani kwa tiba asili, kuanzia Kenya, .......na hapa kwetu. Na ninajua pia dawa kadhaa walizotumia nilisimuliwa na baadhi yao, ila tatizo wengi wametawaliliwa na fikra kuwa tiba asili ni utapeli, kumbe hawajapata dawa sahihi
 
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,

Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa, kutapika kila akila chakula, kukosa balansi ya mwili na usikivu hafifu

Hadi sasa nimekwisha tumia zaidi ya sh milioni 6 kwa ct scan, mri, na operation ndogo ya kupinguza maji kwenye ubongo.

Nimeletewa bili kabla ya matibabu ya upasuaji wa kuondoa uvimbe na recovery zake naona gharama imekua kubwa sana inakimbilia kwenye milioni 20+.

Nimefika mwisho wa kujitutumia na familia yangu nikaona nije jukwaani kuuliza kama kuna namna yoyote naweza kupambana serikalini au taasisis yoyote ile nikapata msaada.

Natanguliza shukrani
Pole sana mkuu Mungu awape subra
 
Pole sana

Jaribu mitishamba mfano juice ya majani ya mstafeli.
 
Magonjwa yote yanatibika isipokuwa kifo na uzee pekee. Labda uwe mzito wa kusaka tiba. Si magonjwa yote utibika hospitalini
Kweli aisee
Kuna mtu kapona ukimwi ..Mama ake hakuamini alikua anampeleka hospital kila baada ya miezi mitatu ndani ya mwaka mzima kuhakikisha na kila akienda wanamkuta negative
 
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,

Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa, kutapika kila akila chakula, kukosa balansi ya mwili na usikivu hafifu

Hadi sasa nimekwisha tumia zaidi ya sh milioni 6 kwa ct scan, mri, na operation ndogo ya kupinguza maji kwenye ubongo.

Nimeletewa bili kabla ya matibabu ya upasuaji wa kuondoa uvimbe na recovery zake naona gharama imekua kubwa sana inakimbilia kwenye milioni 20+.

Nimefika mwisho wa kujitutumia na familia yangu nikaona nije jukwaani kuuliza kama kuna namna yoyote naweza kupambana serikalini au taasisis yoyote ile nikapata msaada.

Natanguliza shukrani
Mungu amponye awape nguvu na moyo mkuu
 
Kweli aisee
Kuna mtu kapona ukimwi ..Mama ake hakuamini alikua anampeleka hospital kila baada ya miezi mitatu ndani ya mwaka mzima kuhakikisha na kila akienda wanamkuta negative

Nani huyo taarifa kama hizi muwe mnaweka full details.. ili wagonjwa wengine nao wapate taarifa.
Ila mkiweka nusu nusu ama kwa kuficha ficha inawapa watu mashaka kuona uongo na utapeli
 
Nakupa ushauri huu, wengi watadharau na kuubeza hapa, ila baadaye utaukumbuka baadaya kufanya research wewe mwenyewe, nafafanua kwanza kansa huwa inatokana na virus mfano HPV, EBV na aina nyinginezo ambazo sijazitaja hapa, na virus hawa huwa wanasababisha uvimbe, kwa watu amabo kinga zao huwa ziko chini, na ujiangalia kwa makini ndio maana matibabu ya .... hhrunia mionzi kuchoma sehemu , au chemo, ili kuua swhemu zilizoathirika sana ili kuzuia virus au kansa kusambaa au kuhamia eneo lingine. Lakini ukiangalia vitu vya asili kama ilivyo elezewa kwwnye kitabu cha back to eden, utaona wanatumia dawa za kisafisha damu (kuua bacteria & virus), dawa za kuondoa uvimbe , kuongeza damu, na dawa hizi huwa ni za kutunia muda mrefu mpaka miezi 6 au 8 kulingana na stage mgonjwa aliyofikia, pia inategememea na masharti ya chakula mfano mgonjwa hatakiwi kutumia vyakula jamii ya nyama na product zake, vyakula vy wanga apunguze kabisa, sukari aache kabisa.
Na hapo ndio pona yake, nina uhakika na hii kitu na nina list ya madaktari walio tumia hii kitu wakapona ila kuna kanuni hairuhusu kuenda nje na protocol waliyofundishwa darasani. Naomba niishie hapo. Najua nitatukanwa na wakimaliza kwa ushauri wao kinajulikana nini kitafuata. Ila mgonjwa wako akikubali kufuata ushauri huo wa kitabu cha back to eden sina mjadala mgonjwa wako atapona, nina ihakika 100%. Awe mwaminifu, hanidanganyi mimi kama akisena anafuata masharti huku ukitoka anakuala kila kitu.nina shuhuda za watu wengi waliopona.

Mkuu kansa haitokani na virus wala sio ugonjwa wa maambukizi bali ni tatizo la kimaumbile
Kansa hutokana na seli za mwili zinapoanza kukua bila mpangilio wake wa kawaida na kusababisha kukua na kuwa uvimbe

Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote wa kitabibu ulio baini sababu ya kansa kutokea ni nini

Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote unaothibitisha kansa inatibika zaidi ya standard protocol iliopo sasa ambayo ni kuiondoa kuichoma mionzi na dawa (chemo)

Narudia tena HAKUNA ushahidi wowote ulio wahi kuthibitishwa kutibu kansa nje ya huyo std protocol...... HAKUNA
Hizo ni hadithi tu kama za wachungaji kufufua watu, kuponya watu nk nk

Mtoto wa shemeji yangu alipoteza maisha kizembe kabisa kwababu ya huu UPUMBAVU wa kuacha hospitali na kwenda eti kutibiwa kwa mitishamba sijui mimea lishe

Dunia ya sasa ni kijiji jamani tusifanyane wajinga kwenye vitu serious mnachezea maisha ya watu kwa njaa zenu NYAMBAFU kabisa

Hebu chukua hayo matibabu yako nenda ocean road katibu wagonjwa 10 tu wapone..... nakuhakikishia utapiga hela ambazo hukuwa kuzifikiria kwasababu ugonjwa huu unatesa sana watu all over the world halafu wewe umakalia dawa nyumbani kwako badala ya kutoa demo kujitangaza umebaki kushawishi watu hapa jf na kwenye komenti za fb twt na insta....... Shezi kabisa. Siku ya kiama mtakuja kuwa kuni za kutuchomea wakosefu wengine ninyi mnaotumia matatizo ya watu kuwa hadaa kujipatia kipato
 
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,

Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa, kutapika kila akila chakula, kukosa balansi ya mwili na usikivu hafifu

Hadi sasa nimekwisha tumia zaidi ya sh milioni 6 kwa ct scan, mri, na operation ndogo ya kupinguza maji kwenye ubongo.

Nimeletewa bili kabla ya matibabu ya upasuaji wa kuondoa uvimbe na recovery zake naona gharama imekua kubwa sana inakimbilia kwenye milioni 20+.

Nimefika mwisho wa kujitutumia na familia yangu nikaona nije jukwaani kuuliza kama kuna namna yoyote naweza kupambana serikalini au taasisis yoyote ile nikapata msaada.

Natanguliza shukrani
Nenda kwenye serikali za mtaa anzia hapo kwanza, Kama isipoeleweka nenda kata, kaombe barua ya msamaha wa punguzo la matibabu, au msaada wa matibabu, alafu peleka ustaw wa jamii.ungefanya mchakato huu toka mwanzo galama zingekuwa nafuu, unatoa kopi moja kila akienda hosp anakuwa nayo,
 
Wako wataalam wa Tiba asilia wanatibu magonjwa yote!!

Chakula tunachokula ndiyo chanzo cha magonjwa yote!!

Yuko mtaalam anaweza kukutibu.
Nakuonya acha na wazee wa Tiba za asili ni matapeli wakubwa sana na wakuogopa
 
Wasiwasi wako ni Kutapeliwa hela/ Kupigwa ?

Au wasiwasi wako ni kuto kupata tiba/Kupona?

Je kama Ukitibiwa bila kuchajiwa hata Mia na ukafanya Malipo baada ya kupona?

Anyways jipe muda kujifunza Mambo mapya mkuu Dunia inabadilika hivyo usikariri bali uwe tayari kujifunza kila kukicha.

Yapo Mambo mengi sana tumedanganywa/Tumefungwa akili na wazungu Wake up mkuu.

By the way Ninachomaanisha hapa ni Tiba Lishe / Tiba asili ya Miti shamba na Vyakula vya Asili visivyoleta Sumu mwilini na siyo Kupiga Ramli kwa Waganga kama ulivyodai.
Utatumia hizo tiba bila mafanikio kwa muda mrefu. Mpaka uende hospitali hali imekuwa tete na kusubiri kufa. Bora kuwahi hospitali, kama ugonjwa haujasambaa bado mwili kuna uwezekano mkubwa wa kupona.
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Back
Top Bottom