Recent content by mabwana

  1. mabwana

    Yuko wapi gwiji wa hoja Return of Undertaker?

    undertaker kaacha mchezo sasa hivi goldberg vs lashaley , brock vs roman
  2. mabwana

    Wanawake kuweni na shukrani

    wanawake wengi wa kitanzania hawana ahsante sisemi wote lakini wengi unampa pesa bure 30 to 50 thousand bure akwambia hata ahsante nini hii, stupid thing in my life sema ahsante. wanataka ziada jamani kuweni na ahsante
  3. mabwana

    Huyu General Qassem wa Iran ni nani mbona mashariki ya kati nzima wanamuogopa?hata obama aliwahi mzungumzia

    General Qassem ni anaogopewa sana yeye ndie aliwafundisha Hezibollah pia ndie Syria in amtegemea kupambana na ISIS
  4. mabwana

    Mgonjwa mwenye 'high cholestral' atumie mafuta gani yasiyoongeza tatizo??

    yes unaweza mbonga za mayani samaki yes you can
  5. mabwana

    Mgonjwa mwenye 'high cholestral' atumie mafuta gani yasiyoongeza tatizo??

    Lazima atumie dawa za kutoa mafuta mimi natumia pia zinaitwa LIPISTAD 10 MG
  6. mabwana

    Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

    maskini kwa nchi zingine za europé ,sio kwa afrika , nchi maskini ya europe tofauti na umaskini tuliokuwa nao watu hata viatu hawana au wanakosa kula chakula mara 3 kwa siku
  7. mabwana

    Tuongeeni tu ukweli, foleni za Dar kwa sasa zinatisha!

    hata europé ukienda unalipa kuingia na kutoka , japo wao wanamiundo mbinu kuliko cc
  8. mabwana

    Mpishi anaitajika

    Lime.peru sijui ni.nnini
  9. mabwana

    Mpishi anaitajika

    Natafuta mpishi så fast Food ,
  10. mabwana

    Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

    mimi nimepanga fast food restaurant , vifaaa nimenunua kama 12 million kutoka china sasa hivi natafuta sehemu ya kufungua naona labda ntapata 50000 kwa siku. mawazo yoyote yanakaribishwa
  11. mabwana

    Paul Makonda atishia kuwasweka ndani Lowassa na wengine wasipoitikia wito wa kwenda kusikiliza madai ya kutelekeza watoto

    Tanzania bado vichwa vyao vimejaa ujamaa , wamezowea kutaifisha majumba na mashamba , amuwezi kushinda nchi jirani bado mnatawala kwa ubabe
  12. mabwana

    Kumbe Bombardier ni maumivu kwa Mtanzania kiasi hiki!? Bunge lagundua...

    shirika lilikuwa alina ndege , kwa hiyo tumepata usafiri tuwe nao kwanza faida itakuja , wengi wanataka tupinge tu kwa faida Yao . kwa upande wangu naona rais anajitahidi ipasavyo kuliko waliyopita , njaa mbaya sana
  13. mabwana

    Bombardier iliyokuwa imeshikwa imeanza safari kutokea Canada to Tanzania.

    safi sana japo tuwe na usafiri wetu wa anga ni sisi katika afrika hatuna shirika la ndege na hakuna ndege
  14. mabwana

    Kwanini Serikali haiwafukuzi mabalozi wa nchi zinazosaidia Chadema kuvuruga amani? Je, tunawaogopa mabeberu?

    kufukuza uwezi cha kufanya wacha kukandamiza demokrasia
Back
Top Bottom