Habari wanajukwaa napenda kutumia haki yangu kama ilivo dhima ya jukwaa hili binafsi napenda kuweka wazi kwamba natafuta msichana wa kuoa na sitanii kama wengine wafanyavo umri miaka 27 ni mkatoriki ni mwajiriwa serikalini vigezo awe msichana umri asizidi miaka 27 asiwe mnyakyusa kama upo tayari...
Habari wanajukwaa poleni n'a majukumu lengo langu niombe ushauri kwenu kuhusu utaratibu wa uhamisho. Mimi ni mwalimu secondary nilivamiwa n'a kupigwa n'a mtu ambae ninamfahamu nikaumizwa Sana nilienda kuripoti polisi n'a kupewa p3 nikapatiwa matibabu Hali yangu kiafya imeimarika kidogo tatizo...
chanzo chake ni mbeya yaan maharage ya mbeya huwa mepesi kuiva yakipikwa vivyo hivyo maharage hayo ya mbeya hufananishwa na wanake wa huko ambao huwa wepesi kuwakubali wanaume pindi wanapotaka mzigo
habarini wana jamiiforums, poleni na majukumu ,ombi langu ni kutaka kupata ushauri kwa hili ninamdogo wangu wa kiume ni mtumishi serikalin ,kwa bahati mbaya alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi wa kidato cha tatu kuelekea kidato cha nne na akampa ujauzito,ndugu wa huyo binti walikuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.