Mkuu ni kweli zipo nchi nyingi ambazo hawapigi ulabu wala hawategemei mapato ya ulabu lakini kwa Tz ni tofauti ulabu unaiingizia serikali pesa nyingi sana maana sirikali kila mwaka wana kazi ya kuongeza kodi kwenye vyanzo vilevile ulabu ukiwemo sasa hapo unategemea nini, ifike mahali sirikali ikubali kuwa uchumi una kanuni zake na zisipofuatwa kamwe wasitegemee miujiza. Actually now nchi inavuna ilichopanda na bado maana naona Zimbabwe/Greece ile inakuja.Kwa nchi ambazo azipigi ulabu na bado wanafanya mambo yao vizuri inakaaje mkuu au ndio akili za kushikiwa ndo zimekosa ubunifu mbadala?mbona ile issue ya dengu watu hawajachangamkia mkuu au ndo kusena watu wanataka hela za bure tu?
Dah.....Watu wamemrudia Mungu wao...Bwana Yesu asifiwe!!!
Ripoti ya Profit and Loss inayoishia September mwaka huu, inaonyesha kuwa mapato ya TBL yameshuka.
My take:
Hii ni indicator iliyodhahiri kuwa mtaani hali ni mbaya.
Lakini ifahamike kuwa TBL ni mlipa kodi mkubwa, sasa kama hali yao nao inasuasua je hali ya kiuchumi nchini kwa ujumla ikoje?
Ni muda muafaka sasa serikali kuchukua hatua madhubuti kustabilize uchumi, la sivyo tutakwenda kwenye recession.

Ingekuwa tunaruhusiwa kufa halafu tunafufuka, ningezama zangu ahera nikageuka 2026



umetishaHata bia ya Plisina ya kampuni ya Serengeti inanyweka sana kwa kuwa ni Tshs.1,500/= tu😀siku hizi viroba na chibuku imekua dili
Huu ni mwanzo tu, wanaotuambia uchumi unakua kwa kasi watatujibu...
Daaafedeki,
wauza supu za asubuhi kwenye baa ni kilio
Umesahau TBL wana umiliki wakaribu asilimia 65%Tanzania Distilleries watavuna sana.............maana viroba vinanywewa balaaa namaini yanazidi kuungua
tungeweza kupa
Goma kwenye sekta binafsi linazama taratibuKwenye taarifa ya week ya Soko la Hisa inaonyesha amna foreign investor aliekuja kuwekeza kwa week iliyoisha j3,pia ununuzi wa hisa umeshuka kwa kiasi kikubwa.
Kudadadadadadadaadeki. No hangover, no supu.mzee umelenga maana wanywa supu ni walio lewa jana mtu cku izi unakunywa bia 3 au 4 asbui chai na mkate inapanda fresh supu ya nini?