Naomba nafasi njoo pm basiHe hee umeniita kimasai kabisa
Ngoja nikuitie atoto mpenda vibabu atakufaa yule![]()
Moyo wangu umekuchagua wewe, hunibebi mgongoni bana njoo inboxMi ntakuwezea wapi? We saiz ya atoto bana
Jina: Valentina
Umri: 79
Jinsia: KE
Wasifu wangu....
1. Umbo kabati
2. Mweusi
3. Mchoyo sana
4. Nina gubu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
1. Hand same
2. Mkarimu
3. Mwenye mali nyingi
4. Asiwe bahili
Umri 25_35
Mie nimekupendea kimoja tyuu GubuJina: Valentina
Umri: 79
Jinsia: KE
Wasifu wangu....
1. Umbo kabati
2. Mweusi
3. Mchoyo sana
4. Nina gubu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
1. Hand same
2. Mkarimu
3. Mwenye mali nyingi
4. Asiwe bahili
Umri 25_35
Mie nimekupendea kimoja tyuu Gubu