Recent content by mabelemapya

  1. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    Swali hilo kwangu ni zuri sana linanifanya nichague aina ya chakula ambacho ninahamu nacho siku hiyo.pia ni sehemu ya maongezi ya mke na mume wakiwa wametulia
  2. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mapenzi imeimarika mtaani baada ya Covid-19

    Upuuzi mtupu
  3. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Umenena vyema Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Pamoja na umri huo lakini uwasilishaji wa andiko uko kiushabiki sana,kanakwamba wewe ni mwerevu kuliko wote walioshiriki kutunga hiyo sheria hadi unadiriki kuona mrahaba wa 4% unatosha sana kwa kulinganisha na mirahaba ya 0.5% kwa wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Andiko shambulizi sana bila kuweka ulinganisho wa takwimu halisi za mapato kipindi cha sheria ya zamani na sasa.sheria inaweza kuwa inamapungufu katika baadhi ya maeneo(vipengele) lakini sidhani kama ni sheria mbovu sehemu zote. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mapenzi hujengwa na ngono pekee?

    Ukweli mtupu,lakin kama hupigi mizinga kidogo unaweza kueleweka.huwezi ukakaa na mwanaume hadi miezi 6 anakuangalia tu bila kuomba game huyo atakuwa na mwanamke pembeni.sijui kwa upande wako unampima mwanaume bora katika vigezo gani hadi ifike miez 6 bado unampima.huwezi ukampata mwanaume rijali...
  7. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Pole sana kwa yaliyokupata,ni sehemu ya maisha ya utafutaji.kufadhili uchimbaji wa maduara ni sawa na karata,wapo waliofanikiwa tena sana lakin wengi wamefilisika kama wewe ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji kuunga mkono Utekelezaji wa Ilani ya CCM

    Bado ni tetesi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha pili S2 (mbinu za komando Zedi Wimba)

    Nzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Madiwani wengine wawili wa CHADEMA jiji la Arusha watimkia CCM

    Wananunulika?
  11. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanachangia kunirudisha nyuma kimaendeleo

    Hakuna cha taswira mbaya.saidia wazaz na wadogo zako wanaosoma,wengine achana nao
  12. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Utumishi wa umma uwe wa mkataba

    Nonsense
  13. mabelemapya

    JamiiForums Tanzania Kila Rais ana kipao mbele chake hata Mkapa na Kikwete walinunua ndege ila wao walinunua ndege za kijeshi

    Enzi za heri watanzania wale nyasi lakini ndege lazima inunuliwe.
Back
Top Bottom