Dr. Mashinji kuunga mkono Utekelezaji wa Ilani ya CCM

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Siyo siri baada ya Mwenyekiti kupenyezewa nyeti kuwa Dr Mashinji atarejea chama dume ikabidi achukue maamuzi ya kumtosa na kumpa ukatibu kuu Mnyika.

Hata hivyo Dr Mashinji ataendelea na maamuzi ya awali kurejea CCM ambako atakuwa Daktari Mwandamizi wa KIONGOZI Fulani.

Stay tuned
 
Mimi simuungi mkono Kamanda Mkuu kwa utaratibu wake wa kung'ang'ania kiti kwa vipindi vinne mfululizo, lakini katika suala la kumuondoa Dr. Mashinji kwenye hiyo nafasi, namuunga mkono.

Kiufupi tu jamaa viatu vya Ukatibu Mkuu vilimpwaya sana. Hakukaribia hata nusu ya mtangulizi wake kwenye suala zima la utendaji kazi.
 
siasa ni kama ujasiriamali tu siku hizi, unaangalia upande upi unaweza kutokea kimaisha ukipata jibu unaenda, hata siwashangai tena, infact nawashangaa mnaowashangaa!, sijui mtaendelea kuwashangaa mpaka lini, this is our life style now, get used to it!. Hiyo 2020 ndio mtawashangaa wengi balaa... get ready.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo siri baada ya Mwenyekiti kupenyezewa nyeti kuwa Dr Mashinji atarejea chama dume ikabidi achukue maamuzi ya kumtosa na kumpa ukatibu mkuu Mnyika. Hatahivyo Dr Mashinji ataendelea na maamuzi ya awali kurejea CCM ambako atakuwa Daktari Mwandamizi wa KIONGOZI Fulani. Stay turned

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee......
Kusini mwa jangwa la sahara
 
Mbona amechelewa? Angejua alivyokuwa anatukwaza wacha tu.

Akiwa huko CCM sio kuunga mkono juhudi tu, agombee mpaka urais, lakini kwa CHADEMA aliprove failure.
 
Back
Top Bottom