Kila Rais ana kipao mbele chake hata Mkapa na Kikwete walinunua ndege ila wao walinunua ndege za kijeshi

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
772
1,249
Watanzania huwa hatueleweki watu hatukai tukapumua Ndege! Ndege! Tena sana sana wasusukuma
Hivi nyinyi katika sikuku za kiserikali hamuonagi zile ndege za jeshi zinavyo kwenda kasi kuliko hizi za ndoto iliyonyooka au mnazani hizi huwa azinunuliwi
Ila sema tatizo hizi za kijeshi hazinaga mapokezi pale airport tena huwa zinakuja usiku wa manane
 
Enzi za heri watanzania wale nyasi lakini ndege lazima inunuliwe.
 
Hv wazungu hawajatengeneza ndege IST zinazotumia mafuta vizuri ili na sisi wanyonge tumiliki?
 
Back
Top Bottom