Umeshaniharibia siku,kama huna post ya maana siukae kimya,naamini na wewe ni miongoni mwa hao waliopo kwenye negatives. Mazuri yapi unayosifia kutoka kwa serikali. Na mambo ya vyama yanaingiaje humu,mpuuzi wa mwisho wewe. Watakuja kukuchukulia mkeo na bado utachekelea.
Mwakyembe alitoa...
Jamani kuleta mambo ya CCM na Kiroboto humu jamvini na tunaswaumu zetu mimi mtanifanya nianze kunywa Pombe na Ramadhani yenyewe basi. Kichefuchefuuuuuuuu
Tatizo kubwa ni hawa HR wetu maana wao waajiri kupitia Facebook na akishapewa hongo ya nyuchi. Fanya utafiti utakuta ni mbovu sana na kasomea vyuo vya Yombo huko. Even the Law of how to treate the customer she don't i.e(Treat the Customer the way you want to be treated). Unaleta jeuri kazini kwa...
Kaka umesomeka vizuri sana,magamba watalia sana maana hawapendi kutuona tunapeana mawazo chanya humu jamvini. Kwani yeye hajui nini maana ya uhuru wa habari,aende zake na umasikini wake wa habari au alitaka tusubiri TBC watuletee zilizopitwa na wakati.
Tondokee na swumu yako hapa,mbona mkeo akikugomea na wewe kumpa kichapo serikali inaingilia kati,kwa nini wasikuache maana umeoa! Ubishi tu basi kama huamini serikali yako imehusika basi aliyehusika ni wewe pumbafu
naunga mkono kwa asilimia mia tatu,maana hizi zote ni njama za ccm kutafuta fedha za kampeni.maana upande wa pili tunakubali kukatwa mishahara yetu ili unapokuwa huna kazi zikusaidie. Jk unasainisaini document bila kuangalia mbele we ndiye mwenye mikataba yetu na mungu? Kama mbwaimbwai bwana...
BAVICHA kazeni mikono, tupo nyuma yenu kwani naamini nguvu ya uma ndiyo ya umoja,hakuna kuogopa.We are beleving to "CHEVEGUARA" who says that, Impacts leading to Revolution.
Very good as we great thinkers it is better to have that such activities so that we can worm up our brain for suddenly question to our members ,b'se I beleave we can have member of Parliaments by 2015. Therefore it is good to be different from Dhaifu especialy Werema and Liwalo na Liwe.
Mkuu hiyo utachelewa kusahau,mwambie akupe Value 3 na Viroba Original 5,mimi saa hv tayari nina 0izinga 9 na Gongo Sado 1,maana yule Kiroboto Bungeni kaniharibia siku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.