Tanzania haiishi vituko: Meli iliyozama haina Ofisi

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Ni ajabu na kweli. Ni kutoka kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC1. Ndugu wa Waathirika walipokwenda bandarini Dar, kuulizia Ofisi za meli iliyozama ili wapewe taarifa ya kinachoendelea, ndipo walipobaki vinywa wazi kwa kuelezwa kwamba hawa jamaa hawajawahi kuwa na ofisi na walikuwa wakiwatumia mawakala wasiosajiliwa rasmi kuuza tiketi.

My take: Ndio tunajua kwamba hatuna serikali, lakini hawa wanao-act, tunaomba wasitumalize kabla ya 2015 Siku ya Ukombozi wa nchi yetu.
 
kampuni ya mfukoni inaendesha biashaya ya kusafirisha abiria majini.
 
Kwa kashfa hii, mpaka rais alitakiwa ajiuzuru. Ni zaidi ya kupeperusha bendera ya nchi yetu kwenye meli za Iran.
 
Eeee Baba wewe, usombe kusikia taifa linapogeuka kuwa 'NCHI YA KITU KIDOGO' kushoto na kulia kila kukicha ni hivi hivi tu!!!!!!

Ni ajabu na kweli. Ni kutoka kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC1.

Ndugu wa Waathirika walipokwenda bandarini Dar, kuulizia Ofisi za meli iliyozama ili wapewe taarifa ya kinachoendelea, ndipo walipobaki vinywa wazi kwa kuelezwa kwamba hawa jamaa hawajawahi kuwa na ofisi na walikuwa wakiwatumia mawakala wasiosajiliwa rasmi kuuza tiketi.

My take: Ndio tunajua kwamba hatuna serikali, lakini hawa wanao-act, tunaomba wasitumalize kabla ya 2015 Siku ya Ukombozi wa nchi yetu.
 
Ni ajabu na kweli. Ni kutoka kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC1. Ndugu wa Waathirika walipokwenda bandarini Dar, kuulizia Ofisi za meli iliyozama ili wapewe taarifa ya kinachoendelea, ndipo walipobaki vinywa wazi kwa kuelezwa kwamba hawa jamaa hawajawahi kuwa na ofisi na walikuwa wakiwatumia mawakala wasiosajiliwa rasmi kuuza tiketi.

My take: Ndio tunajua kwamba hatuna serikali, lakini hawa wanao-act, tunaomba wasitumalize kabla ya 2015 Siku ya Ukombozi wa nchi yetu.

Kwasababu Sasa hivi ya Kununua Meli na Ndege out of Commissions...

Angalia MV Victoria inapiga Mzigo hadi Sasa; Unakumbuka zile ndege 2 Kilimanjaro na Serengeti BOEING 703

Nyerere alimtuma Augustine Mwingira kuzinunua Mpya Seattle, Washington... tulikaa nazo kwa Miaka zaidi ya 30

* Sio Sasa hivi 10% here 10% there 5% here Unaambulia BATI TU; na kubaki kuua wananchi wetu

Unakumbuka Meli ilikuwa MV. MAPINDUZI Dar - Zanzibar ilikuwa inasota, inajaa lakini hausikii imezama mpaka tumeitupa
 
Boti inatokea bandarini kwetu then hapo hapo tunaambiwa haina ofisi wala nini,yaani bandarini rushwa tupu inaendelea......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Itakuwa ni Chadema hao waliosababisha ile meli izame"Kova kazi ulionayo ni kukamata viongozi wa chadema maana wako nyuma ya kuzama kwa meli ili nchi isitawalike!Kova mguu sawa....
kunkunywa nn leoooo manake mijineno yakutoka tuu au kunkunywa maji ya choonk
 
Nani atajiuzulu, maana wameshaanza kusema hali ya hewa! sawa tunakubali hali ya hewa ilikua sishwari! Sasa na la kukosa ofisi inakuaje? Hapa nategemea ACP Msangi kesho tutamwona kwenye vyombo vya Habari akisema ofisi ziko wapi
 
Ukitaka kufanya biashara yako ruksa hata bila ofisi.
Kikwete ni mtu mwema sana
 
ni ajabu na kweli. Ni kutoka kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku tbc1. Ndugu wa waathirika walipokwenda bandarini dar, kuulizia ofisi za meli iliyozama ili wapewe taarifa ya kinachoendelea, ndipo walipobaki vinywa wazi kwa kuelezwa kwamba hawa jamaa hawajawahi kuwa na ofisi na walikuwa wakiwatumia mawakala wasiosajiliwa rasmi kuuza tiketi.

My take: Ndio tunajua kwamba hatuna serikali, lakini hawa wanao-act, tunaomba wasitumalize kabla ya 2015 siku ya ukombozi wa nchi yetu.

kidumu chama cha mapinduzi..............
 
John mtembezi anataka kuvunja rekodi ya Ben ya MV BK? na picha hii itaendelea mpaka siku AKILI KUBWA itakapo chukua Nchi,na kama tutaendelea kuruhusu AKILI NDOGO kutawala AKILI KUBWA sijui mwsho wake nini
 
Back
Top Bottom